Mkutano maalum wa kidunia wa masuala ya Usalama waanza leo mjini Munich. Je,Tanzania imepeleka mwakilishi?

Mkutano maalum wa kidunia wa masuala ya Usalama waanza leo mjini Munich. Je,Tanzania imepeleka mwakilishi?

Intelligence nayo inaonekana ya kikaaada

Kila kukicha full uharo

Sijui wanajisikiaje au hawajielewi kupoteza dhamani ya malengo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
@mistari4G ndugu yangu hawa jamaa wa usalama ndo Cmm wanaitwa Green Guard halafu walivyo matahira eti watu tunawajua kabsa halafu sasa hivi usalama wa taifa

Wachaa tupite kwenye miba
Mtetezi cjui yu wapi

Wengi pumba sana na hzo kujifanya wana mafunzo maalum kumbe wengine walichaguliwa kwa umbea tuu

Ethics hazipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vipi mkuu?
Kuna best yangu ni wale die hard wa uvccm na pia ni kiongozi hapa Dar es Salaam alinipa secrets kuwa Most of today's intelligence wanatoka Ccm Green Guards pia hata wanaomaliza chuo wanachukuliwa kupewa pumba na push ups chache then wanaanza kazi.
Hakuna tena ile intelligence kama ya mwanzo kaka

Sent using Infinix hot 4
 
Wakaushie tuendelee kuona sarakasi
Maisha yana mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inteligensia yetu inakuwa imara siku hadi siku kwa kila Nyanja.

Si ile unaoifikiria.

Hii huitaji uchambuzi na ufatiliaji makini ndo tunaona.
Ila kumbuka imeshindwa kufanya The intended functions for the benefits of the nations. Sasa ni for the benefits of Yohana

Sent using Infinix hot 4
 
CAG aliulizwa kama kuna ufisadi umefanyika akajibu hapana. Wewe unataka kubishana na Raisi wetu ?

Kuhusu uwanja wa Chato kule ni nyumbani kwa kina Raisi Magufuli na huwa anaenda kupumzika, sasa ulitaka Raisi afikaje kwao ? Mbona Jakaya Kikwete alitaka kujenga bandari kule kwao Bagamoyo na hamkulalamika mnakuja kulalamika kwa Raisi Magufuli ? Halafu unajua kwamba Chato Airport utaitwa Geita Airrport, sasa unalalamika nini wakati uwanja utakuwa ni wa Geita ?

Mamlaka maana yake ni Authority or Power to act within certain jurisdiction or bounds of law. Lakini Raisi Magufuli hata akikosea ni udhaifu tu wa kibinadamu lakini jua kuwa ana nia njema sana na nchi hii, wakina Jakaya walilete kufuata Sheria lakini nchi haikufika popote pale. Kama unakumbuka alivyokuwa anamuapisha mama Anna Mghwira alisema " I give you power, and power is power, akikisumbua yoyote yule wewe mshughulikie tu kwa maslahi ya wananchi"

Mkuu demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu havipo duniani, ni mbinu tu za kibepari kutaka kutukandamiza na kuiba rasilimali zetu kama walivyofanya kule Libya kwa Gaddafi na Kuwait kwa Saddam Hussein.

Mkuu Red Giant unakumbuka mabepari walichomfanyia Raisi wa Kuwait Saddam Hussein ?
Hahaha naona umeamua kuwa Paskali mkuu nasoma halafu between the lines naona kitu kingine kabisa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna best yangu ni wale die hard wa uvccm na pia ni kiongozi hapa Dar es Salaam alinipa secrets kuwa Most of today's intelligence wanatoka Ccm Green Guards pia hata wanaomaliza chuo wanachukuliwa kupewa pumba na push ups chache then wanaanza kazi.
Hakuna tena ile intelligence kama ya mwanzo kaka

Sent using Infinix hot 4

🙂🙂

Haya mkuu we muamini huyo uvccm, ila hakuna kitu kama hicho kabisa kwa sasa.

Hivi wafahamu hata hapahapa JF waweza kufanyiwa assessment kuona kama wafaa au la?

Yaani Inasemwa kwamba hata methods za kufanya recruitment zmeboreshwa sana.

Shukran kwa misaada ya nchi wahisani.
 
Back
Top Bottom