mahubiri yake na historia yake ipo vipi kwani
Halafu hawa manabii sura zao zinafanana mno
Wajinga ni kina nani mrangi[emoji1787]
wajinga Si kama wewe unayefurahia nabii ktoka kenya akiziuiliwa huku manabii wauongo nyumbani kwako wakiaachwa
Mjinga ni wewe asiyejua sababu ya mkutano kuzuiliwa
Sijui utakua lini uweze kujielewa uwaelewe na kuyafahamu ya unaowangongelea ndio uongee..
Maana kuwa shabiki maandazi na miaka yako yote hiyo sio powa
Tatizo lako harufu ya kisamaki imekupanda mpka kichwan na huwezi kuwaza kwa umakini..
Anzeni kuzuiaa wa ndani kwanza ndo mpate nguvu wa huko nje sawa?
Hivi shosti wewe ndio Ile Jinsia mpya eeeh. Yaani upinde[emoji38][emoji38][emoji38]
Maana hakuna ke wala me aliyekamili mwenye mienendo hii uliyo nayo
Kwani walio jitokeza na kupiga marufuku mkutano usiendelee walikuwa ni watu tu from no where (wahuni) au ni watu kutoka serikalini?Kwa hekima tu, wazuiaji wa huo mkutano wasingejitokeza wao kutoa zuo, mkutano utakuwa una mwenyeji ambaye ndiye angetangaza kuwa hakuna mkutano utakaoendelea. Watu wasiohusika na mkutano huo kuvamia na kutoa katazo ni uhuni na ni fujo, bora polisi wangevamia na kuutawanya mkutano huo kwa yale mabomu ya machozi hata kama hawana maelezo ingeeleweka mkutano umevunjwa na polisi labda hauna kibali cha kukusanyika. Hekima na busara ni bora sana katika kuamua mambo kwa amani na upendo
Umewaza weeeh ukaona huna jibu la kutoa.
Na ukakumbuka kwamba mwanaume yyte kamili ukimwambia hvyo atakasirika tu.
Uache kunyoa vuz na wembe mapele yanatoka makubwa na “nyapu” inakuwa kama kidevu cha askari.
Usiache kutoa kisamaki hiko ndo Jau.
watu gani hao wa serikali wasiokuwa na busara na hekima? Naona kama unatokwa povu hiviKwani walio jitokeza na kupiga marufuku mkutano usiendelee walikuwa ni watu tu from no where (wahuni) au ni watu kutoka serikalini?
Nimeuliza kuhitaji kujua tu, lakini ulivyo na akili ndogo na usivyojua kuishirikisha akili yako ipasavyo umeona kama nimetokwa povu.watu gani hao wa serikali wasiokuwa na busara na hekima? Naona kama unatokwa povu hivi
akili ndogo? Haya we mwenye akili kubwa chakata mwenyewe habari hiyo upate majibuNimeuliza kuhitaji kujua tu, lakini ulivyo na akili ndogo na usivyojua kuishirikisha akili yako ipasavyo umeona kama nimetokwa povu.
Watakuja wanaojua kushirikisha akili zao vizuri watanijibu ipasavyo.
Nimeshaipata mkubwa, amani amani.akili ndogo? Haya we mwenye akili kubwa chakata mwenyewe habari hiyo upate majibu
Si hao waliyokuwa wanataka kukusanywa na kujazwa [emoji1]Wajinga ni kina nani mrangi[emoji1787]
aisee anataka kuleta majangaShosti yake Mackenzie
Aiseeee.....Nakupuuza shosti
Maana sasa kama vile umemtamani mwanaume mwenzio hapa, yaani unarusha maneno ili akufuate wewe[emoji849][emoji849] pole hatumii mashog@$