Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

wajinga Si kama wewe unayefurahia nabii ktoka kenya akiziuiliwa huku manabii wauongo nyumbani kwako wakiaachwa

Mjinga ni wewe asiyejua sababu ya mkutano kuzuiliwa
Sijui utakua lini uweze kujielewa uwaelewe na kuyafahamu ya unaowangongelea ndio uongee..
Maana kuwa shabiki maandazi na miaka yako yote hiyo sio powa
 
Tatizo lako harufu ya kisamaki imekupanda mpka kichwan na huwezi kuwaza kwa umakini..

Anzeni kuzuiaa wa ndani kwanza ndo mpate nguvu wa huko nje sawa?
 
Tatizo lako harufu ya kisamaki imekupanda mpka kichwan na huwezi kuwaza kwa umakini..

Anzeni kuzuiaa wa ndani kwanza ndo mpate nguvu wa huko nje sawa?

Hivi shosti wewe ndio Ile Jinsia mpya eeeh. Yaani upinde😆😆😆

Maana hakuna ke wala me aliyekamili mwenye mienendo hii uliyo nayo
 
Hivi shosti wewe ndio Ile Jinsia mpya eeeh. Yaani upinde[emoji38][emoji38][emoji38]

Maana hakuna ke wala me aliyekamili mwenye mienendo hii uliyo nayo

Umewaza weeeh ukaona huna jibu la kutoa.

Na ukakumbuka kwamba mwanaume yyte kamili ukimwambia hvyo atakasirika tu.

Uache kunyoa vuz na wembe mapele yanatoka makubwa na “nyapu” inakuwa kama kidevu cha askari.

Usiache kutoa kisamaki hiko ndo Jau.
 
Nimeona sehemu,muhubiri huyu anamahusiano ya karibu na Pastor Mackenzie aliyeua watu Kenya Kwa kuwaambia wafunge bila kula ili watimbe mbinguni
 
Kwa hekima tu, wazuiaji wa huo mkutano wasingejitokeza wao kutoa zuo, mkutano utakuwa una mwenyeji ambaye ndiye angetangaza kuwa hakuna mkutano utakaoendelea. Watu wasiohusika na mkutano huo kuvamia na kutoa katazo ni uhuni na ni fujo, bora polisi wangevamia na kuutawanya mkutano huo kwa yale mabomu ya machozi hata kama hawana maelezo ingeeleweka mkutano umevunjwa na polisi labda hauna kibali cha kukusanyika. Hekima na busara ni bora sana katika kuamua mambo kwa amani na upendo
Kwani walio jitokeza na kupiga marufuku mkutano usiendelee walikuwa ni watu tu from no where (wahuni) au ni watu kutoka serikalini?
 
Mnamsingizia jamaa Hana pigo hizo na yupo strictly Kweli kweli kuhusu usalama wa watu wake.
 
Umewaza weeeh ukaona huna jibu la kutoa.

Na ukakumbuka kwamba mwanaume yyte kamili ukimwambia hvyo atakasirika tu.

Uache kunyoa vuz na wembe mapele yanatoka makubwa na “nyapu” inakuwa kama kidevu cha askari.

Usiache kutoa kisamaki hiko ndo Jau.

Nakupuuza shosti
Maana sasa kama vile umemtamani mwanaume mwenzio hapa, yaani unarusha maneno ili akufuate wewe🙄🙄 pole hatumii mashog@$
 
Kwani walio jitokeza na kupiga marufuku mkutano usiendelee walikuwa ni watu tu from no where (wahuni) au ni watu kutoka serikalini?
watu gani hao wa serikali wasiokuwa na busara na hekima? Naona kama unatokwa povu hivi
 
watu gani hao wa serikali wasiokuwa na busara na hekima? Naona kama unatokwa povu hivi
Nimeuliza kuhitaji kujua tu, lakini ulivyo na akili ndogo na usivyojua kuishirikisha akili yako ipasavyo umeona kama nimetokwa povu.

Watakuja wanaojua kushirikisha akili zao vizuri watanijibu ipasavyo.
 
akili ndogo? Haya we mwenye akili kubwa chakata mwenyewe habari hiyo upate majibu
 
Uzi wa nabii umegeuka kuwa jamvi la kuchambana...

Mwenye historia ya huyo jamaa angeiweka, wengine hata hatujawahi sikia jina lake...
 
When all people shall be wise in divine terms, Those False prophets and Bogus religious leaders will go hungry.

Religion is a legalized scam.
 
Nakupuuza shosti
Maana sasa kama vile umemtamani mwanaume mwenzio hapa, yaani unarusha maneno ili akufuate wewe[emoji849][emoji849] pole hatumii mashog@$
Aiseeee.....

[emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom