Tetesi: Mkutano mkuu CCM tarehe 7.7.2016; Mangula kuwa katibu mkuu, Bulembo naibu katibu mkuu

Status
Not open for further replies.
Hii ndio ile kitu inaweka uwezekano wa kutenganisha kofia mbili pande tofauti, Chair na Presider.

Pagan Amum
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
 
H
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...

Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Huko ni kubadili chupa tu, pombe/mvinyo ni uleule!
 
Hayo majina ya kuleta Mabadiliko Ndiyo yale yale chakavu!! Tungoje 2020.
 
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...

Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...

Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Labda Ole Sendeka ataweza kukisaidia CCM. Hao wengine nina wasi wasi nao kama kweli watakuwa na msaada chanya kwa chama.
 
ngoja watoe mamluki ccm sasa yaan ndumila kuwili walikuwa wengi sana unajuaa had walitaka kuuza chama toa wote .....bora wabak wanachama wAtiifu kwa itikad sio maslah
 
Mangula hawezi kuwa katibu mkuu,ukatibu mkuu unahitaji energy ya kuzunguka,kushawishi kwenye podium,hawezi umri umeenda.
 
taranga photoo pyoot amiyooo *2 milale stopee emaa ndenge ,ekotite ekotie ekotiee selfies uuh mamaaa mutulamutula aaah ekotite. Kofi olomide. mimi ningependekeza Katibu Mkuu awe Philip Mangula na Naibu Katibu mkuu awe Joseph Msukuma kasheku, Mwenezi awe Lusinde kibajaji na nafasi ya Mwenyekiti mila na desturi za kukabidhiana ziendelee Hapo team itakua kali sana
 
ikisindikana KM kuwa Mangula basi apewe C. Ole Sendeka na Naibu Joseph Msukuma kasheku ,Katibu Mwenezi awe Lusinde Kibajaji Makamu Mwenyekiti yuleyule P.Mangula
 
Hii nchi sijui kama itaendelea maana hiyo hazina ya viongozi ukiambiwa unaweza ukalia na kucheka kwa wakati mmoja
 
Kuhusu Bashe upo sahihi, ukiachilia mbali figisufigisu alizokumbana nazo kisiasa ndani ya CCM, kitendo cha kutumbua jipu kwamba elimu bure serikali ilikurupuka kwani haikuwa imeweka mikakati bayana na endelevu katika utekelezaji wake nadhani ndio haswa ambayo pengine inamfanya CCM wamuone siyo mwenzao.
Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
 
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...

Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...

Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Hahahaaaa, class seven, form six div 0 zero hapo ndio maono ya rangi kijani na njano.
 
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...

Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...

Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Khoho khoho kho kho khoho !!!!!!
 
Nacho kipendea hikichama
Mamboyake yanaenda kwa mpangilio
Hadi kina Mbowe hufuatilia vyema
 
Kwani Bashe ni nani na CCM anafanya nini?
Hakuna pengo CDM, Ila kwa siasa zake na alivyo smart CCM hakumfai.
Bashe ni mwenezi wa Lowasa namshangaa kwanini hamfati? Halafu mtoa mada ndio kaota kabisa eti Bashe kuwa mwenezi....labda mwenezi wa UKAWA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom