swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,894
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashe ni mwenezi wa Lowasa namshangaa kwanini hamfati? Halafu mtoa mada ndio kaota kabisa eti Bashe kuwa mwenezi....labda mwenezi wa UKAWA.
We ni Wa wapiHivi Bashe si uje CHADEMA tu jamani?
Huko hakukufai kaka.
Smart Wa maandamano na kukimbia bungeniKwani Bashe ni nani na CCM anafanya nini?
Hakuna pengo CDM, Ila kwa siasa zake na alivyo smart CCM hakumfai.
Ndumila kuwili elekea chagadema yaani haya ndo mabadiliko raha sana starehengoja watoe mamluki ccm sasa yaan ndumila kuwili walikuwa wengi sana unajuaa had walitaka kuuza chama toa wote .....bora wabak wanachama wAtiifu kwa itikad sio maslah
MachameMashinji yuko wapi kwa sasa?
Kuntu
Mbunge Africa masharikiHivi Makongoro ndo hana chake ccm?
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
😀😀 kibajaji ndani tutegemee mitusi ya kila aina na uzushiHaya majina ndio ya kuleta mabadiliko!!!
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Baba J ndio nani?Bulembo ni swahiba wa baba J ambaye hamkubali Kinana
Si huwa mna kejeli elimu ya Mbowe sasa hao Lusinde na Ole sendeka wana elimu gani?Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani