Huko ni kubadili chupa tu, pombe/mvinyo ni uleule!Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Labda Ole Sendeka ataweza kukisaidia CCM. Hao wengine nina wasi wasi nao kama kweli watakuwa na msaada chanya kwa chama.Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
Hahahaaaa, class seven, form six div 0 zero hapo ndio maono ya rangi kijani na njano.Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Mashinji yuko wapi kwa sasa?Haya majina ndio ya kuleta mabadiliko!!!
Khoho khoho kho kho khoho !!!!!!Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa kupewa nafasi ya naibu katibu Mkuu Bara.. Ikumbukwe Bulembo ni confident man wa Rais kwa sasa...
Pamoja na hilo, Mwenyekiti mpya, atatumia fursa hiyo kufumua kamati kuu yote kwa kuwaondoa wajumbe wake wote, na kuja na majina mapya ambao wengi sio wanasiasa bali ni wasomi wa nchi hii... Hii itaendana na mwenyekiti mpya kufumua sekretariate na kuunda mpya...
Kwa nafasi ya uenezi wa chama majina matatu yanatajwa tajwa... 1. Bashe 2. Lusinde 3. Ole Sendeka
Bashe ni mwenezi wa Lowasa namshangaa kwanini hamfati? Halafu mtoa mada ndio kaota kabisa eti Bashe kuwa mwenezi....labda mwenezi wa UKAWA.Kwani Bashe ni nani na CCM anafanya nini?
Hakuna pengo CDM, Ila kwa siasa zake na alivyo smart CCM hakumfai.