Tetesi: Mkutano mkuu CCM tarehe 7.7.2016; Mangula kuwa katibu mkuu, Bulembo naibu katibu mkuu

Status
Not open for further replies.
Vigezo wanavyo wengi,kutia akili mfukoni,kulopoka,la saba kumcontrol proffessor,hapo watachuana kibajaji,mfuasi wa diamond na yule alietoa kanusho kuhusiana na Gwajima
 
ngoja watoe mamluki ccm sasa yaan ndumila kuwili walikuwa wengi sana unajuaa had walitaka kuuza chama toa wote .....bora wabak wanachama wAtiifu kwa itikad sio maslah
Ndumila kuwili elekea chagadema yaani haya ndo mabadiliko raha sana starehe
 
Hahah bashe huyu huyu, hata kwa dawa hawawezi kumpa
 

Usiumize kichwa na tetesi, utashitakiwa kwa uchochezi, subiri taarifa baada ya CC kesho!
 
LUSINDE unayemtaja ni huyu kibajaji au mwingine? nisaidie tafadhali sana
 
Lusinde...? Bulembo ❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌✂ Hell no... Bulembo nae sio kabisa.. hafai, hana UELEWA KABISA...!! CCM inahitaji watu makini na waelewa sio waongo waongo na wasiowatendaji kama Bulembo au Lusinde... Mh. Rais lazima awe makini na watu wa kuongoza CCM kwa sasa... Bashe, Mangula, Mwigulu, Makonda, Lukuvi, Kagasheki, hawa wana UWEZO mkubwa wa kuiongoza CCM ya hapa KAZI TU na CCM kusimama imara kabisa, ila sio akina OLE SENDEKA, LUSINDE, MAJI MAREFU, BULEMBO...haw hapana kabisa..
 

Hapo kwa Bulembo labda ni kwa ajili ya shukrani tu, lakini hana sifa.
 
Si huwa mna kejeli elimu ya Mbowe sasa hao Lusinde na Ole sendeka wana elimu gani?
 
Hii nafasi achukue BASHE mwisho wa mchezo siasa ya CCM kidogo itakua graduated
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…