Kumbe CCM wanafurahishwa na upuuzi unaofanywa na Lusinde bungeni? Kumbe ndio maana CCM hovyo kabisa....Bulembo ndo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na ndiye aliyefanikisha mikakati ya ushindi wa CCM. Ndiye alikuwa msemaji wa Mgombea wetu wakati wa kampeni. Kibajaji ni Mbunge wa Mtera. Mnafahamu pia muziki wake anaowahenyesha pale Bungeni
Angekuja kwangu ningefurahije?Kama unamtaka nendanaye kwako ukamtengezee gahawa
Mwenyekiti atakuwa nani?
Kama kila mtu anavyofuatilia ya ukawa. Naona kila mtoa mada kama ni CCM ataongelea ukawa au Lowasa au Bashe. Huwezi kumpiga adui wako kama hujui mbinu zake. You have to infiltrate the system in order to break it. Go to Espionage tactics. Go deep to learn political tactics and the downfall of political parties.Nacho kipendea hikichama
Mamboyake yanaenda kwa mpangilio
Hadi kina Mbowe hufuatilia vyema
Ole Sendeka!?ukisoma majina mpk unastuka!!bulembo?,kibajaji?.........
Ulishasema dogo yuko smart...na navyojua mimi, smart people never make stupid mistakes (kama kuhamia chadomo)Angekuja kwangu ningefurahije?
Kama vipi muambie #Aje.
Popoma wewe, kweli tuliona mbali sana tulivyokutimua CDM.Ulishasema dogo yuko smart...na navyojua mimi, smart people never make stupid mistakes (kama kuhamia chadomo)
Mhhhhhh nani huyo mkuu?Habari njema sana hii kwa baba mkwe
Kama ni kweli chama cha ccm kimeishiwa watu labda kwa ushikaji lakini kwa sifa hawana na ccm itavurugika.ukisoma majina mpk unastuka!!bulembo?,kibajaji?.........
Hebu tuliza munkari.Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani
Moyo wake upo huko!Hivi Bashe si uje CHADEMA tu jamani?
Huko hakukufai kaka.
Bulembo ndiye KM au?Bashe hana nafasi ndani ya CCM. Mangula hawezi kuwa Katibu Mkuu wa CCM labda anaweza kubaki kwenye nafasi aliyonayo sasa. Bulembo anaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi CCM. Ole Sendeka anaweza kuwa Mwenezi. Ila chama ndo kinaamua. Hizi ni hisia tu. CCM haifanyi mambo yake gizani. Kila kitu kitakuwa hadharani