Mkutano Mkuu - CCM Tawi la Uingereza

CCM wakati wenu wa kuringa, iko siku mbwembwe hizi hatutaziona. Hivi CHADEMA au CUF wakifungua matawi nje ya nchi si mtawaita wahaini.
 
CCM wakati wenu wa kuringa, iko siku mbwembwe hizi hatutaziona. Hivi CHADEMA au CUF wakifungua matawi nje ya nchi si mtawaita wahaini.

Kibunango ni mhaini.....na wenzake!
 
kuna kipya gani hao watanzania waliokuwa uingereza ambacho hawauikiona tangu tanzania na kujiunga na ccm wamesubiri mpaka wako uingereza ndio wanataka uanachama wa ccm na kuanza kufungua matawi? au kuna kizuri gani ccm wanafanya ambacho kimewavutia mpaka kuwa mstari wa mbele kiasi cha kufungua matawi haya? kama kweli mna mawazo mapya tofauti na ccm waliokuwa tanzania kwanini hamkuanzisha chama chenu wenyewe na kufanya sera zenu mpya zisikike zaidi kuliko kuutumia "CCM" chama ambacho kinaogopwa kama ukoma sasa hivi?
 
waliokuwepo huko ni wendawazimu kuliko walio TZ na ukiwapa nafasi wanatoweka na kila kitu ni yao hasa ni kupata nafasi ya kuja kufuja mali TZ
hawana maana yeyote ni time wasters, wazulumishi na wezi, sasa hiv wanapanga mipagno ya kuja kuiba bongo na wanaona short cut ni ccm
 
Nadhani kulipa ada kwa fedha za kigeni kwa watz wabeba box kutasaidia kiasi fulani katika "balance of payments" hasa katika kipengele cha "transfer of earnings". Utaratibu huu ufanyike pia US UAE Sweden! ila hii ada ya paund 3 mbona ndogo! labda zingekuwa 50!
 
Ninawatakia kila la heri wana CCM wa UK katika mkutano wao mkuu.

CCM imara hujengwa na wanaCCM imara wenye moyo wa dhati kabisa wa kukitumikia chama chao.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…