Mkutano Mkuu - CCM Tawi la Uingereza

Mkutano Mkuu - CCM Tawi la Uingereza

CCM wakati wenu wa kuringa, iko siku mbwembwe hizi hatutaziona. Hivi CHADEMA au CUF wakifungua matawi nje ya nchi si mtawaita wahaini.
 
CCM wakati wenu wa kuringa, iko siku mbwembwe hizi hatutaziona. Hivi CHADEMA au CUF wakifungua matawi nje ya nchi si mtawaita wahaini.

Kibunango ni mhaini.....na wenzake!
 
kuna kipya gani hao watanzania waliokuwa uingereza ambacho hawauikiona tangu tanzania na kujiunga na ccm wamesubiri mpaka wako uingereza ndio wanataka uanachama wa ccm na kuanza kufungua matawi? au kuna kizuri gani ccm wanafanya ambacho kimewavutia mpaka kuwa mstari wa mbele kiasi cha kufungua matawi haya? kama kweli mna mawazo mapya tofauti na ccm waliokuwa tanzania kwanini hamkuanzisha chama chenu wenyewe na kufanya sera zenu mpya zisikike zaidi kuliko kuutumia "CCM" chama ambacho kinaogopwa kama ukoma sasa hivi?
 
Walioko huko uko huenda ni wasomi kabisa na uwezo wao wameshindwa kabisa kuunga mkono sauti za watz wenzao ambao kila kukicha sasa WANAPIGANIA HAKI/USAWA/URARI/HAKI ZA BINADAMU NA wanapigia kelele ufisadi; dhuluma (north mara ni mfano mdogo kabisa); watu hawapati mlo hata mmoja kwa sababu hawajatenengenezewa mazingira kweli na elimu zenu mnaamua kupanga njama zaidi kulihujumu taifa letu; kweli baniani mbaya; mbona elite wengine wako tofauti angalia elite wa iran wanavyopigania mageuzi; ni aibu waosmi wa tanzania ni aibu eti alama ya jembe na nyundo kweli; kwa hiyo madini yetu; mazingira yetu (yanayoharibiwa nakuaa watu sasa); rasilimali zetu zinazoibwa ndio; richmond; kagoda; iptl; buzwagi ( au ndio wawezeshaji?) nk ndio jembe ne nyundo; ni mali zetu na watoto wetu hizo sio zenu; ipo siku zitarudi; JAMANI RUDINI HUKU SASA MTUSAIDIE WAKULIMA MIAKA 50 KARIBU SASA TUNADANNGANYWA NA CCM; BADALA YAKE TUNAPIGA MACKTIME NYUMA. TUOKOENI JAMANI NIKO KIJIJINI HUKU WATUENDI POIPOTE AU KWA KUWA MMEWEZESHWA
waliokuwepo huko ni wendawazimu kuliko walio TZ na ukiwapa nafasi wanatoweka na kila kitu ni yao hasa ni kupata nafasi ya kuja kufuja mali TZ
hawana maana yeyote ni time wasters, wazulumishi na wezi, sasa hiv wanapanga mipagno ya kuja kuiba bongo na wanaona short cut ni ccm
 
Nadhani kulipa ada kwa fedha za kigeni kwa watz wabeba box kutasaidia kiasi fulani katika "balance of payments" hasa katika kipengele cha "transfer of earnings". Utaratibu huu ufanyike pia US UAE Sweden! ila hii ada ya paund 3 mbona ndogo! labda zingekuwa 50!
 
Ninawatakia kila la heri wana CCM wa UK katika mkutano wao mkuu.

CCM imara hujengwa na wanaCCM imara wenye moyo wa dhati kabisa wa kukitumikia chama chao.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
 
Back
Top Bottom