Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tujiandae kufuatilia mkutano wa chama cha majizi?!View attachment 3204807
Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano.
Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na mwenendo wa siasa nchini.
Tujiandae kupitia media zote,mitandao ya kijamii na kuna baadhi ya maeneo yatatumia zoom meeting kujiunga.
KIDUMU CHAMA TAWALA!
Chama makini hakiongozi nchi kwa shuruti, bali huongoza kwa ushawishi na ridhaa ya wananchi.Chama makini chama kinachoongoza Nchi.
Hakina mivurugano
Kama ule uongo wa viwanda 100 kila mkoa.Uongo upo huko CDM na Lema amesema wazi
View attachment 3204807