Mkutano Mkuu Simba

Huna haki ya kuuliza chochote kwani wewe ni "mpenzi " tu wa Simba.
Kujifanya una uchungu na Simba ni unafiki tu.Simba haiwajibiki kujibu maswali yako kwani wewe sio mwanachama wao.Endelea kupiga makelele kwenye vikao vya kahawa
 
Kitendo Cha kumleta Manzoki wakati usajili umesha pita ni jambo la fedheha si Kwa Simba tu ila inaonyesha jinsi kama Watanzamia tunavyo fikiri.
Kitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili
 
Iweje MO Xtra awekwe kifuani afu atoe hela ndogo? Kwanini Asiwekwe Begani kama Emirates?
ni sawa na kwa nini Feisal analipwa kidogo kuliko Tuisila. Huo ni mkataba, inategemea ulivyokuja
 
We jamaa huna akili, ukisikia 2022/23 unahisi nini?
Pengine tuweke hivi,Financial Year ya 2022/2023 inaanzia July 2022 na inaishia June 2023.Je ukiambiwa utoe report ya nusu mwaka ya hiyo Financial year utacover kipindi gani hapo?
 
sasa huo 2023 umeisha? Ndio mana umeambiwa usubiri report ijayo ndio utajaji. Mbet ameingia simba katikati ya mwaka, so ametoa kulingana na huduma ya mwaka.
Huyu mwenzetu anahitaji wahasibu waje wamweleweshe vizuri maana ya Financial Year 2022/2023.Inampa tabu kujua kuwa nusu ya hiyo Financial Year itacover July to December ya 2022.
 
Wewe kweli ni "Kazitunayo"
 
Ana mkataba Ila halipwi siyo?
 
Santee, maoni yamepokelewa
 
Huyu mwenzetu anahitaji wahasibu waje wamweleweshe vizuri maana ya Financial Year 2022/2023.Inampa tabu kujua kuwa nusu ya hiyo Financial Year itacover July to December ya 2022.
Mzee ile ni bajeti iliyotengwa ya mwaka mzima, kasome tena.
 
Tatizo hawa gongowazi hawajuii hata wanaandika nini?Ukiwauliza wao mapato na matumizi yao toka yule kibaraka wa GSM aingie hawajui.Kazi kukaza shingo na shughuli za Simba.Inferiority complex at its best.
Iliwekwa ikionyesha wamebakiwa na 5m kwenye a/c
 
Sijakuelewa hapa boss. Ana mkataba ila hajasajiliwa sababu ni majeruhi. Kuwa na mkataba na simba bila kusajiliwa umemaanisha nn mkuu?
 
Ni Bajeti vs Actual, sasa actual unadhani watareport ya mwaka mzima? Hizo Actual za Jan-June 2023 wanazitoa wapi?
We jamaa hauko sawa kichwani. Actual ni mpaka mwaka uishe, Bajeti ina figure ambazo zipo kwa uhalisia mfano wa hizo za wadhamini. Bajeti nzima ndio hiyo, Actual ni mpaka ufunge vitabu ndio utajua kama ulipata ulivyotarajia au la.
 
Ana mkataba Ila halipwi siyo?
Ni makubaliano tu. Kambole na Yacouba kwa zaidi ya miezi mitatu wamekaa kambini Kigamboni wakiwa wana mkataba na Yanga ila hawachezi. Namna walivyokuwawanalipwa ni makubaliano na klabu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…