ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kwa hizi akili mtaendelea kupigwa sana, mchezaji anaweza ku sign mikataba miwili at once? au una maanisha alienda China kwa mkopo?Kitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili