Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Manzoki mda huu anasimamia masanduku ya kura, kuweni watulivu jamaa kaja kama wale waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa.
JF raha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manzoki mda huu anasimamia masanduku ya kura, kuweni watulivu jamaa kaja kama wale waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa.
Kwa hiyo mwaka umeisha tangia M Bet waingie mkataba na Simba?.Hizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Wewe ndio zaidi ya Mbumbumbu ata hujui una andika Nini. Manzoki hawezi kutumikia Mikataba miwili Kwa wakati mmoja.Kitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili
Bill nakuonea huruma.Huwezi na rudia huwezi kumfundisha "fisi" kupanda mti.Ukimkuta juu ya mti basi kapandishwa. Unapoteza muda hao hawako kwenye wale wawili wenye akili timamu.Kuwaelewesha na wakaelewa ni kutaraji miujiza.Kwa hiyo mwaka umeisha tangia M Bet waingie mkataba na Simba?.
Au unadhani pesa zinatolewa tu kama unatoa pesa ya kununua maandazi?
Kuna kanuni za kihasibu zinazosimamia ulipaji wa pesa na pia mkataba wenyewe. Hizo hizo zinasimamia utoaji taarifa za kihasibu. Hizi kanuni rafiki hautakiwi kucheza nazo unakula miaka na ni kosa kisheria. Mpaka hapo taarifa ya Simba ipo sahihi kuhusu pesa ya M Bet
Mkataba ni kuwa kwa Mwaka watapokea 4.5B kwa mujibu wa ulichoandika. Mpaka hapo sina hakika muda wa mkataba ulioisha, lakini nahisi itakuwa imepita miezi 6. Hiyo 4.5B imegawanyika kulingana na mkataba kwamba Simba watapokea pesa kila mwezi au vinginevyo mpaka mwaka uishe itakuwa imelipwa yote.
Usitegemee mwanzoni tu au katikati ya mkataba M Bet atachota 4.5B na kwenda kuwapa Simba. Hauoni ataathiri financial position yake hasa upande wa liquidity au working capital.
Hujajibu swali.Ni makubaliano tu. Kambole na Yacouba kwa zaidi ya miezi mitatu wamekaa kambini Kigamboni wakiwa wana mkataba na Yanga ila hawachezi. Namna walivyokuwawanalipwa ni makubaliano na klabu yao
Nakupata vyema bro ila kwenye suala la bonus hiyo ni muhimu sana wachezaji ni wafanya kazi kama wafanyakazi wengine bonus inawapa motisha kufanya vizuri zaidi hata makampuni ya kawaida huwapa employees bonus/ motisha hicho ni kitu Cha kawaida na 800M kwa idadi ya watu wale ni sawa na ukumbuke hii ni bajeti (expection not real consumption) huenda ikapungua pia.Hizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Ilitamkwa kuwa Vunjabei kama Main KIT sponsor atatoa 1bil kwa Mwaka ila leo imesomwa kuwa Vunjabei atatoa 750Mil.
A One Bottlers, watengenezaji wa Mo Xtra wanatoa 150mil.
Emirate Aluminium 100
Iweje MO Xtra awekwe kifuani afu atoe hela ndogo?
Kwanini Asiwekwe Begani kama Emirates?
Wachezaji wanalipwa mishahara ila wameandikiwa Bonus ya 800mil, kuwa wanalipwa kila mechi wanayocheza, kuna umuhimu gani wa bonus wakati wachezaji wanajua majukumu yao?
Kwamba kila mechi 20mil
Kuwa Maji ya Kunywa kwa ajili ya Kambi zote ni 150mil
Azam TV wanalipa 2.5bil kwa ajili ya haki za Matangazo
Bodi ya Ligi itawalipa 400mil
Bajeti haijatimia sababu mapato ni machache hivyo MO ameahidi kuwapa 3.9bil
Servicebya gari 26mil
Maswali yangu
1. Kwanini Club iwalipe wachezaji kwa kufanya kazi wanayopaswa ifanya? Kwanini bonus isiwe kwenye kutimiza lengo fulani? Mf Kuchukua Ligi kuu, Bonus iwe 200mil, Kufika Robo Final 300mil, Kufika Nusu 400mil, Kufika Final 500mil, kuchukua Kombe 800mil.
Ukiangalia hapo Club itakuwa yatoa Bonus kwa mafinikio fulani na hata ikitokea Wamechukua kombe bado Club itatumia 1bil kama Bonus
2. Hiyo service ya 26mil ni service gani? Maana bus lafanyiwa service na Mdhamini wa bus.
3. Hayo maji ya zaidi ya 100mil ni maji gani?
4.Kwanini Simba isijenge hostel ili ikwepe kulipa hizo milioni 400 kila mwaka?
5. Allowance ya 100mil kwa wachezaji wanapo safiri, hii ni sawa ila audit yahitajika.
6. Usajili wa 2bil+ Huu usajili ndo huu huu au kuna mwingine?
Wewe ulikuwa wapi hadi hukuuliza swali hilo?Nimefuatilia kwa makini huu mkutano nikiwa kama mpenzi na mshabiki wa Simba nimeamini tunasafari ndefu sana kama nchi katika kila sekta mfano Taarifa ya mapato na Matumizi imesomwa lakini hamna hata mmja aliyeuliza swali..wagombea wote wamesema sera zao hamna ata 1 aliyezungumzia Bil 20 za Muwekezaji..Mo alionyesha Mfano wa Hundi na kusema ametoa na ziko Bank na Kuweka kama Tresury Bond..swali langu kama izo pesa ziko bank je zime mature mara ngap na Interest ya iyo pesa iko wapi? Na ni Bei gn kwa Mwezi Tunalipwa? Mbona hatujaskia katika taarifa ya Mapato na Matumizi juu ya faida ya Iyo pesa kuwekwa Bank?
Hizi mambo ungeenda na sera hii unapunguza idadi ya kura hasa kutoka kwa chawa wanaomkubali moNimefuatilia kwa makini huu mkutano nikiwa kama mpenzi na mshabiki wa Simba nimeamini tunasafari ndefu sana kama nchi katika kila sekta mfano Taarifa ya mapato na Matumizi imesomwa lakini hamna hata mmja aliyeuliza swali..wagombea wote wamesema sera zao hamna ata 1 aliyezungumzia Bil 20 za Muwekezaji..Mo alionyesha Mfano wa Hundi na kusema ametoa na ziko Bank na Kuweka kama Tresury Bond..swali langu kama izo pesa ziko bank je zime mature mara ngap na Interest ya iyo pesa iko wapi? Na ni Bei gn kwa Mwezi Tunalipwa? Mbona hatujaskia katika taarifa ya Mapato na Matumizi juu ya faida ya Iyo pesa kuwekwa Bank?
Daah kumuelewesha mbu3 ni kazi ngumu sana Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio zaidi ya Mbumbumbu ata hujui una andika Nini. Manzoki hawezi kutumikia Mikataba miwili Kwa wakati mmoja.
Manzoki amesajiliwa China, kwasasa anajiuguza majeraha yake, Simba atakama walikua na pre contract imekufa Kwa kifo Cha Asili baada ya kusajiliwa China.
Mki mtaka Manzoki inabidi mvunje mkataba wake wasasa au msubilili uishe awe free agent.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😤😤😁😁😁😂😂 kweli hawa ni mafisi.Bill nakuonea huruma.Huwezi na rudia huwezi kumfundisha "fisi" kupanda mti.Ukimkuta juu ya mti basi kapandishwa. Unapoteza muda hao hawako kwenye wale wawili wenye akili timamu.Kuwaelewesha na wakaelewa ni kutaraji miujiza.
Haya yote umeandika sababu ya wivu tu!Hizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Ilitamkwa kuwa Vunjabei kama Main KIT sponsor atatoa 1bil kwa Mwaka ila leo imesomwa kuwa Vunjabei atatoa 750Mil.
A One Bottlers, watengenezaji wa Mo Xtra wanatoa 150mil.
Emirate Aluminium 100
Iweje MO Xtra awekwe kifuani afu atoe hela ndogo?
Kwanini Asiwekwe Begani kama Emirates?
Wachezaji wanalipwa mishahara ila wameandikiwa Bonus ya 800mil, kuwa wanalipwa kila mechi wanayocheza, kuna umuhimu gani wa bonus wakati wachezaji wanajua majukumu yao?
Kwamba kila mechi 20mil
Kuwa Maji ya Kunywa kwa ajili ya Kambi zote ni 150mil
Azam TV wanalipa 2.5bil kwa ajili ya haki za Matangazo
Bodi ya Ligi itawalipa 400mil
Bajeti haijatimia sababu mapato ni machache hivyo MO ameahidi kuwapa 3.9bil
Servicebya gari 26mil
Maswali yangu
1. Kwanini Club iwalipe wachezaji kwa kufanya kazi wanayopaswa ifanya? Kwanini bonus isiwe kwenye kutimiza lengo fulani? Mf Kuchukua Ligi kuu, Bonus iwe 200mil, Kufika Robo Final 300mil, Kufika Nusu 400mil, Kufika Final 500mil, kuchukua Kombe 800mil.
Ukiangalia hapo Club itakuwa yatoa Bonus kwa mafinikio fulani na hata ikitokea Wamechukua kombe bado Club itatumia 1bil kama Bonus
2. Hiyo service ya 26mil ni service gani? Maana bus lafanyiwa service na Mdhamini wa bus.
3. Hayo maji ya zaidi ya 100mil ni maji gani?
4.Kwanini Simba isijenge hostel ili ikwepe kulipa hizo milioni 400 kila mwaka?
5. Allowance ya 100mil kwa wachezaji wanapo safiri, hii ni sawa ila audit yahitajika.
6. Usajili wa 2bil+ Huu usajili ndo huu huu au kuna mwingine?
Ila makolo kweli hamnazoKitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili
Duh! Rage aliona mbali sana, yaani timu inahitaji huduma ya mchezaji, inaingia naye mkataba kisha anaenda kusajiliwa china?Kitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili
umeandikika kimbumbumbu sAnAKitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili
Wee ushaambiwa kule utopolo wenye akili ni JK na Mzee manara tuHuyu mwenzetu anahitaji wahasibu waje wamweleweshe vizuri maana ya Financial Year 2022/2023.Inampa tabu kujua kuwa nusu ya hiyo Financial Year itacover July to December ya 2022.
Ulisoma shule gani wewe? hii ni zaidi ya aibuLeta matumizi na mapato ya Utopolo tokea GSM waichukue?Mapato ya jezi,wadhamini, bonasi,usajili na matumizi mengine.
Ndio utajua hujui.Timu imepokwa na GSM. Hersi yupo pale kulinda maslahi ya GSM. Amekuwa mwanachama wa Yanga miaka mingapi mpaka akateuliwa kuwa Rais wa Yanga bila mpinzani?Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.