Mkutano Mkuu Simba

Mkutano Mkuu Simba

Kitu ambacho hamjui ni kwamba Manzoki ana mkataba na Simba hata kabla hajaenda China. Dirisha hili dogo waliacha kumsajili kwa kuwa angekaa tu akitibiwa maana ni majeruhi atakayekaa nje kwa miezi kadhaa. Kwa hiyo Manzoki yupo pale akiutumikia mkataba wake, sio kwamba walishindwa kumsajili
Kwa hizi akili mtaendelea kupigwa sana, mchezaji anaweza ku sign mikataba miwili at once? au una maanisha alienda China kwa mkopo?
 
Leta matumizi na mapato ya Utopolo tokea GSM waichukue?Mapato ya jezi,wadhamini, bonasi,usajili na matumizi mengine.
Ndio utajua hujui.Timu imepokwa na GSM. Hersi yupo pale kulinda maslahi ya GSM. Amekuwa mwanachama wa Yanga miaka mingapi mpaka akateuliwa kuwa Rais wa Yanga bila mpinzani?Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, hapa tunajadili mambo ya Simba na si ya Utopollo.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, hapa tunajadili mambo ya Simba na si ya Utopollo.
Wewe unajadili mambo ya Simba kama nani?Mwanachama hai, mpenzi au nani?Mbona imekuuma nilipotaja Utopolo?
 
Motivation kwenye kazi yako?
Motivation huja baada ya Mafanikio
Aisee.... Motivation hufanyika wakati wa kazi au hata baada. Pia kuna positive motivation na negative motivation. Kwa mfano zawadi ya mchezaji au kocha bora wa mwaka inatolewa kila mwezi kama positive motivation. Mchezaji kupewa adhabu kama kufungiwa au faini ni negative mitivation ambayo lengo lake ni kuzuia tabia kuenea au kujirudia.
Sasa wewe tuambie iwapo zawadi hizo hutolewa mwisho wa msimu. Na kama zinatolewa ligi ikiwa inaendelea lengo lake ni nini?
 
Back
Top Bottom