Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Kurithi kukoje? Anatoka baba yako then unachukua we madaraka au kuna wengine kama wanne wanapita hapo katikati then unakuja wewe ndo unakua umerithi? Tena hao waliopita hauna hta vinasaba nao, haya tuambie Hussein Mwinyi amerithi kwa nani?

Tulia tu maana yawezekana kwa makusudi au kwa kutokujua umeuliza hilo swali.
 
Mbowe kwa baba mkwe!

Naona Mbowe anawanyima usingizi kabisa.
Hapa tulikuwa tuna wazungumzia Maalim Seif na Hussein mwinyi, sasa ili la mbowe Baba mkwe limetoka wapi tena? au ndo kutangatanga njiani?
 
Hogera JPM, Mama Samia na Hussein Mwinyi, Tupo pamoja.
 
Haa🙄😀😁😂😂
Nape Bado Yupo Ccm
 
Tulia tu maana yawezekana kwa makusudi au kwa kutokujua umeuliza hilo swali.
Ndo nakwambia we KILAZA, HUSSEIN MWINYI hajaridhi urais toka kwa baba yake, atachukua kijiti toka kwa Dr Shein
 
Waambieni hao watangazaji wa tbc hatujaweka hiyo stn kuwasikiliza wao, wakae pembeni tuone na kusikia live sio kuwasikiliza wao. Ujumbe wafikishien
Kaka hili nilishalisema sana.
Watu wa TBC wanaboa baraa!

Wao ndo wanakuwa wazungumzaji wakubwa .

Nimehamia chanel10 saivi au clouds.

TBC mpaka ifumuliwe.
 
Reactions: mmh
Membe tamaa mbele utaifa nyuma.

Chukueni wazee wa matapishi.
 
Kuna mtu ambaye ni miongoni mwa walio hesabu kura, anasema matokeo yalikua mazuri lakini sio 100% .

Kilicho fanyika ni uungwana tuu na myangaza matokeo nadhani alikua na ujumbe toka juu kwamba kura zote zisomeke ndio.

Anasema matokeo kuwa mazuri japo siyo 100% yamechangiwa na mkakati ambao uliwekwa kuhesabu kura kwa mikoa ili kubaini mkoa upi upiga hapana.

Bahati mbaya moja ya mkoa ambao ulikua na hapana ni mkoa ulio karibu sana na muhusika.

Makubaliano hayo ya kutangaza 100% ambayo anasema hata nyerere hakuwahi kupata ni kuanza kwa kampeni za propaganda kwamba anakubalika na watanzania wote.

Na mtoa nyeti anasema, hata oct 25 anaweza jichukulia 100%, na hakuna waku uliza.

Moja ya jambo ambalo mtoa nyeti ameligusia ni mkakati wa kuto toa kopi ya matokeo, maana yake vituo vitakua na kopi moja tuu ya matokeo.

Mungu ibariki Tanzania, la msingi Barabara zinajengwa, na zahanati zinajengwa.

 

Hana sifa ya kushinda kwa box la kura toka zamani. Na hilo la kuwa na fomu moja ya matokeo General Election ni agizo lake. Unaposikia atashinda kwa 90%+ ujue hayo ni maagizo yake. Na kuna misukumo mikubwa ya kutaka wapinzani wasishindane na yeye ili apite bila kupingwa. Na iwapo wapinzani watakaza kamba tutarajie damu kumwagika, na uchaguzi wa kishenzi kuwahi kutokea hapa nchini.
 
Jamaa ajui kucheza movie zake.ana sahau mapema ya wanayo wakuta wenzake kwenye nchi zingine
 
Mmekalia kufatilia ya CCM yenu yanawashinda! Mtakuja kustuka mshapigwa tayari. Kajengeni chama chenu sio kila Siku kudandia ajenda! Mko tu nyuma ya Keyboard, kura ziko field
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…