Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Sarakasi na ngonjera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpemba James Brown , The truck turner 😛 😛 Sorry kumbe ni Jumbe Brown , ile list ya majina alikupa Bashite ??😛😛😛😛
Pole mkuu, kumbe unadai kitu hata hujui kina muundo ganiwanaoshiriki uchaguzi wakae pamoja waamue isiwe Mgombea aweke mwamuzi amtakaye yeye
ACHA UONGORais Magufuli: Sultani ni Dr Mwinyi au yule anayegombea urais kila uchaguzi na yule mwenyekiti wa kudumu?
Wenzako uliowataja hapo wote wana vyeo, wewe vipi ndo unakitafuta au??Sasa nimenaswa wapi?
Abui Gavana huo utowashi nimeonekana nao wapi...
UKIACHA utoto na chuki mbona tutaelewana vema tu akhui....
Ukiangalia AVATAR hapo juu ni Picha yangu...mm si mtu wa makandokando ya kujificha....TOFAUTI na AVATAR yako....
Watu wengi humu ndani wananijua kuwa si GHOST km wewe....
Litaje jina langu sahihi JUMBE BROWN mbele ya vijana wnzngu UVCCM halafu eti waseme miye towashi😂😂😂😂,waulize kina mh.Ngubiagai,Said Sambala,abubakar Asenga,Patrobass Katambi,BEATUS MAFURU,Salum Ally Hapi,waliokuwa TAHLISO kipindi Cha nyuma,waliokuwa shirikisho la vyuo VIKUU dar es salaam etc
Badala ya HOJA unaleta VIROJA VYA kuvimbirwa UROJO looh
Unadhani kwanini Prof Lipumba, Cheyo na Mrema walicheka sana?ACHA UONGO
Hakuongelea uenyekiti
Swali zuri sana kwa wale mnaoseme urais wa Zanzibar umekuwa kama usultani.
Maalimu Seif amekuwa mgombea urais wa Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze na hajawahi kushinda.
Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema kwa zaidi ya miaka 20 na hana mpango wa kustaafu.
Sasa yupi ni Sultan hapo?
Maendeleo hayana vyama!
Unadhani kwanini Prof Lipumba, Cheyo na Mrema walicheka sana?
Ni kwamba hata wao inawahusu!
Paah...Swali zuri sana kwa wale mnaoseme urais wa Zanzibar umekuwa kama usultani.
Maalimu Seif amekuwa mgombea urais wa Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze na hajawahi kushinda.
Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema kwa zaidi ya miaka 20 na hana mpango wa kustaafu.
Sasa yupi ni Sultan hapo?
Maendeleo hayana vyama!
Kurithi kukoje? Anatoka baba yako then unachukua we madaraka au kuna wengine kama wanne wanapita hapo katikati then unakuja wewe ndo unakua umerithi? Tena hao waliopita hauna hta vinasaba nao, haya tuambie Hussein Mwinyi amerithi kwa nani?Sultan ni yule anayerithishwa cheo na wazazi wake. Sasa kati ya hao wawili niambie ni nani anarithi cheo au nafasi ya uongozi?