Mkutano Mkuu Wa CCM - Matarajio Ya Kujiokoa?

Mkutano Mkuu Wa CCM - Matarajio Ya Kujiokoa?

Mwanakijiji mbona unatake vitu sooooo personal ?? never will i be scared of being dragged behind by wakuu wengine, bali i will be scared pale nitakapoona sipati nafasi ya kuexpress ninachotaka kuexpress bila ya kuwekewa chuki na maneno ukizingatia hapa wote tupo kwa ajili ya kuitetea nchi yetu angalau ( sina uhakika na uwepo wako wewe hapa forum to be honest with you)! kama kweli unataka boliti zitoke mwanakijiji sidhani kama kutakalika humu, na wakati boliti zinatolewa misingi fulani iangaliwe kwa maana wengine wapo hapa kuleta distraction kwenye mada hasa pale zinaponoga.

Mie kutaka kuongoza watu hilo sio kweli mkuu, hapa forum bana lazima ujue nini kinachoendelea. Wewe na mimi tukiwa wachezaji, achilia mbali na hao watazamaji tunaweza tusione hii kitu. Lakini hapa kama nia ni kuharibu kitu fulani (ambacho hakijawekwa wazi bado na sidhani kama kitawekwa wazi) huwezi kufanikiwa bila ya kuzungumza the good side of it, kwa maana kwamba usinyime credit when its due, na ukifanya hivyo basi kuwa tayari for damage/changes if you. Hapa forum kulikuwa na mtazamo mmoja tu ambao kwa sasa umepungua baada ya kuanza kupiga kelele (ambazo wewe unadai nataka kuongoza watu) kwamba hatuwezi kusema watu fulani wabaya toka chama fulani na kuanza kugeneralize chama kizima, (inafahamika kwamba kuna wabaya ndani ya vyama vyote vya siasa, kubali ukatae ) ! sasa baada ya kutaka kubadirisha akili za watu na kuona chama fulani ni kibaya BILA YA KUSEMA YALE MAZURI WALIYOFANYA PALE WALIPOSTAHILI KUFANYIWA HIVYO, nilipokuwa nasema tuangalie mambo shilingi pande zote mbili, ikawa rahisi sana watu kubadirisha muelekeo wa situation nzima na nilishasema tokea zamani kwamba lazima tuangalie pande zote mbili ili ziwe BALANCED, then baada ya kufanya hivyo HAKI itakuwa imetendeka, na mbeleni sidhani kama watu wangeweza kubadiri mwelekeo wao kama sasa hivi walivyofanya !

Na sasa kuna huu mvutano humu JF lakini still HAKI haitendeki ! kama mtakubali sawa, na kama mtakataa sawa vile vile !!

Naona kelele nilizopiga hazikusaidia na sasa imetokea nilichosema ! lakini anyway, boriti simwagi nitakaa nazo mwenyewe maana ni nyingi sana after all its not worth it baada ya vitu kutendwa tayari !
 
CCM ni kubwa sana kuliko watuhumiwa wa ufisadi, wanaoshitakiwa ni baadhi tu ya viongozi wachache wa CCM na serikali, sio wote ni wananchama wa CCM,

Matokeo ya udiwani majuzi ni majibu tosha toka kwa wananchi kwamba wanaelewa tofauti ya watuhumiwa na chama CCM,

CCM haihitaji kujiokoa, ni upinzani ndio wanaotakiwa kujiokoa, ili wakubalike na wananchi!

Heshima kwako Mkuu,

Naomba nitofautiane na wewe katika hii hoja.Kwanza sidhani kama CCM "kubwa" tuliyoizowea miaka nenda rudi bado iko mikononi mwa wenye chama ie wanachama.If that were the case,then hata haya mambo ya ufisadi yasingejitokeza kwani wengi wa waathirika wakubwa wa maamuzi ya "genge dogo lakini lenye nguvu kubwa kabisa ndani ya CCM" (linalojulikana kama VIONGOZI) ni hao hao wanachama wa CCM (kwa maana ya kuwa CCM ndio chama chenye wanachama wengi zaidi kuliko vyama vingine,and for that matter maamuzi yake yanaathiri sehemu kubwa ya population ya TZ kutokana na its wider membership).Sijui kama kuna mwenyekiti wa ccm mkoa ambaye ana sauti dhidi ya RA,for example,na hoja hapo sio kwa vile RA ni kiongozi wa kitaifa bali ni uwezo wake wa kifedha.CCM imekuwa chama cha wafanyabiashara,not wakulima na wafanyakazi any longer,na only rule of the game right now ni FEDHA.

As to matokeo ya uchaguzi wa madiwani,ushindi wa CCM was expected.You know what,in Africa,a ruling party never loses an election,and if it does then it's bcoz of an OPPOSITION FROM WITHIN the party and not any pressure from opposition parties.KANU ilijitengenezea mazingira ya kushindwa YENYEWE (kwa poor choice of its candidate),Museven will be in power as long as he wants unless itokee force within his circle of trusted friends ichochee mabadiliko,so is Mugabe na wababaishaji wengine in African politics.Chama tawala katika nchi nyingi za Afrika hutengeneza mazingira ambayo ni vigumu sana kwa vyama pinzani kukiondoa madarakani.Talk of the judge,jury and prosecutor:CCM imeshikilia hatamu (which is not a crime had it been for Tanzania's best interests) kwenye kila upenyo unaoweza kutumiwa na opposition parties.Tume ya Uchaguzi,vyombo vya usalama,mazingira kwenye maeneo ya uchaguzi (ambapo DCs na RCs-watu waliopata vyeo hivyo kutokana na allegiance yao kwa chama tawala-ni major players kuhakikisha chama tawala kinashinda) na UKWELI KWAMBA CCM INANUFAIKA SANA NA UMASIKINI WA WATANZANIA (na pengine wanaiga "crime theory" kwamba ukiondoa completely wahalifu ktk jamii,basi mahakama,polisi,magereza,etc zitakuwa hazina kazi).With every resources at their disposal,kuanzia kwenye mfumo mzima wa uchaguzi,support ya kila aina kutoka serikalini,na potential voters ambao kutokana na umasikini walionao dont give a damn kama watamchagua kiongozi mbovu as long as amewawezesha kupeleka mikono vinywani for a day or two,MGOMBEA WA CCM KATIKA NGAZI YEYOTE HAPASWI KUSHINDWA UCHAGUZI.

Of course CCM inahitaji kujiokoa kama inataka kuendelea ku-exist kama chama cha siasa.Inahitaji kujiokoa katika makucha ya majambazi,wababaishaji,makahaba wa kisiasa (tufupishe kwa kuwaita MAFISADI) ambao wanatumia uroho wa fedha wa watu kama Makamba et al,na "michango ya kuendeleza chama" kutoka kwa wafanyabiashara ambao kimsingi wanatafuta protection katika dirty deals zao.Ijiokoe kutoka mikononi mwa hili dude liitwalo Mtandao,ambalo mwenye busara yeyote atakubaliana nami kuwa linaipeleka pabaya CCM na taifa kwa ujumla.Kwa anayetaka mfano,ktk worst case scenario baadhi ya wanamtandao hawafiki Muungwana awe mgombea pekee 2010,some threaten to withdraw their support....malizia mwenyewe.Is that possible,Oh yea,coz hili dude (mtandao) ni a mafia-like institution,not only bcoz interest yake kubwa ni fedha and more fedha,bali pia like in the Mafia,the rule of tha game ni kwamba you are gone,if you let us down.Na huo ndio mtihani unaomkabili Muungwana.He needs Mtandao for his political survival lakini he surely knows kwamba affiliation yake na dude hilo inakwamisha ktk kila jambo zuri analotaka kulifanyia taifa.It's a Catch-22 situation. (Please note:that's just an imaginary scenario though it's a possibility as well)

Kushinda kwa CCM na kushindwa kwa vyama vya upinzani (by the way,ni kama wameshinda tu if you pay attention to resources walizonazo CCM) sio suala la msingi sana kwa wale wanaoangalia maslahi na hatima ya taifa.Cha muhimu ni chama kinachoshinda uchaguzi kutafsiri ushindi huo kwa maslahi ya waliokichagua na jamii kwa ujumla.Tunaweza kuendeleza politiki za Simba na Yanga kwamba kumfunga mtani wa jadi kuna raha yake,lakini raha hiyo ina umuhimu gani kama mshindi wa mechi hachukui ubingwa mwishoni mwa ligi,au akichukua ubingwa anaenda kutuaibisha kwenye mashandano ya kimataifa!!!Can we move beyond party politics and focus on the fate of our nation,PLEEEEZ.]
 
hapo ^^ kama unasema ccm ya sasa sio ya wanachama iweje ccm "hao viongozi uliowataja" wanapiga kampeni za nguvu na huibuka washindi ? unadhani matokeo haya ni kwa sababu ya hao viongozi uliosema ndio wenye chama au hao wanachama ambao umesema sio wenye chama ??
 
hapo ^^ kama unasema ccm ya sasa sio ya wanachama iweje ccm "hao viongozi uliowataja" wanapiga kampeni za nguvu na huibuka washindi ? unadhani matokeo haya ni kwa sababu ya hao viongozi uliosema ndio wenye chama au hao wanachama ambao umesema sio wenye chama ??


Kada, heshima mbele, hivi unadhani kuna mtyu hajui hizo 'nguvu' ni zipi?
 
1.
Heshima kwako Mkuu,

Naomba nitofautiane na wewe katika hii hoja.Kwanza sidhani kama CCM "kubwa" tuliyoizowea miaka nenda rudi bado iko mikononi mwa wenye chama ie wanachama.If that were the case,then hata haya mambo ya ufisadi yasingejitokeza kwani wengi wa waathirika wakubwa wa maamuzi ya "genge dogo lakini lenye nguvu kubwa kabisa ndani ya CCM" (linalojulikana kama VIONGOZI) ni hao hao wanachama wa CCM (kwa maana ya kuwa CCM ndio chama chenye wanachama wengi zaidi kuliko vyama vingine,and for that matter maamuzi yake yanaathiri sehemu kubwa ya population ya TZ kutokana na its wider membership).

Mkuu Mlalahoi,

Heshima mbele mkuu ninajua kuwa wewe ni mmoja wa watu wenye vichwa makini hapa, mambo ya ndani ya CCM au upinzani should not matter kwetu hapa forum, na uchaguzi huu wa madiwani ni majibu tohsa kuwa hata wananchi wanaelewa hilo, kuwa matatizo ya ndani ya mtu na mkewe, ni no body's else business, please hayo tuwaachie CCM waamue wenyewe, sisi tu-deal na taifa letu, uchaguzi wa rais wananchi waliyasikia yote yaliyojiri Dodoma, lakini wakamchagua rais wa CCM anyways, meaning kwamba what goes on ndani ya CCM haikuwa a big deal kwao, na majuzi wamejibu tena wananchi kuwa it does not matter what goes on ndani ya CCM, wao wana imani nao, hii forum haiwakilishi wananchi wote wa Tanzania, au?


2.
Sijui kama kuna mwenyekiti wa ccm mkoa ambaye ana sauti dhidi ya RA,for example,na hoja hapo sio kwa vile RA ni kiongozi wa kitaifa bali ni uwezo wake wa kifedha.CCM imekuwa chama cha wafanyabiashara,not wakulima na wafanyakazi any longer,na only rule of the game right now ni FEDHA.

RA ni mbunge na Mweka Hazina wa CCM, ni kiongozi wa CCM taifa, sasa mwenyekiti wa CCM mkoa anatakiwa kuwa chini yake kikatiba, sasa atakuwaje na sauti zaidi ya RA mweka hazina wa CCM taifa? Mkuu ni mbunge gani wa upinzani anyefanya kazi serikalini? Ni mwenyekiti gani wa upinzani anyefanya kazi serikalini? Wote ni wafanya biashara, it works both ways upinzani na CCM, wote sasa ni biashara tu au?

3.
As to matokeo ya uchaguzi wa madiwani,ushindi wa CCM was expected.You know what,in Africa,a ruling party never loses an election,and if it does then it's a OPPOSITION FROM WITHIN the party and not because from opposition parties.KANU ilijitengenezea mazingira ya kushindwa YENYEWE (kwa poor chocie of ots candidate),Museven will be in power as long as he wants unless itokee force within his circle of trusted friends ichochee mabadiliko,so is Mugabe na wababaishaji wengine in African politics.Chama tawala katika nchi nyingi za Afrika hutengeneza mazingira ambayo ni vigumu sana kwa vyama pinzani kukiondoa madarakani.Talk of the judge,jury and prosecutor:CCM imeshikilia hatamu (which is not a crime had it been for Tanzania's best interests) kwenye kila upenyo unaoweza kutumiwa na opposition parties.Tume ya Uchaguzi,vyombo vya usalama,mazingira kwenye maeneo ya uchaguzi (ambapo DCs na RCs-watu waliopata vyeo hivyo kutokana na allegiance yao kwa chama tawala-ni major players kuhakikisha chama tawala kinashinda) na UKWELI KWAMBA CCM INANUFAIKA SANA NA UMASIKINI WA WATANZANIA (na pengine wanaiga "crime theory" kwamba ukiondoa completely wahalifu ktk jamii,basi mahakama,polisi,magereza,etc zitakuwa hazina kazi).With every resources at their disposal,kuanzia kwenye mfumo mzima wa uchaguzi,support ya kila aina kutoka serikalini,na potential voters ambao kutokana na umasikini walionao dont give a damn kama watamchagua kiongozi mbovu as long as amewawezesha kupeleka mikono vinywani,MGOMBEA WA CCM KATIKA NGAZI YEYOTE HAPASWI KUSHINDWA UCHAGUZI.

Wanasema kumpiga champion ni lazima iwe knockout, lakini Zitto, Slaa, wameweza kushinda kwenye hiii hiii system yetu, kwa hiyo inawezekana upinzani kushinda, ila so far hawajwapa wananchi sababu ya kutoipigia kura CCM, kumbuka kuna majimbo kama matatu ambayo upinzani wameshinda udiwani, lakini una point nyingi muhimu sana kwa taifa letu hapa!

4.
Of course CCM inahitaji kujiokoa kama inataka kuendelea ku-exist kama chama cha siasa.Inahitaji kujiokoa katika makucha ya majambazi,wababaishaji,makahaba wa kisiasa (tufupishe kwa kuwaita MAFISADI) ambao wanatumia uroho wa fedha wa watu kama Makamba et al,na "michango ya kuendeleza chama" ktuoka kwa wafanyabiashara ambao kimsingi wanatafuta protection katika dirty deals zao.Ijiokoe kutoka mikononi mwa hili dude liitwalo Mtandao,ambao mwenye busara yeyote atakubaliana nami kuwa linaipeleka pabaya CCM na taifa kwa ujumla.

Again, kwenye hili ni la mambo ya ndani ya CCM, isipokuwa tu mafisadi ni tatizo letu wote wananchi na sheria zetu na serikali yetu, na hasa bunge letu, lakini great thinking!

5.
Kushinda kwa CCM na kushindwa kwa vyama vya upinzani (by the way,ni kama wameshinda tu if you pay attention to resources walizonazo CCM) sio suala la msingi sana kwa wale wanaoangalia maslahi na hatima ya taifa.Cha muhimu ni chama kinachoshinda uchaguzi kutafsiri ushindi huo kwa maslahi ya waliokichagua na jamii kwa ujumla.Tunaweza kuendeleza politiki za Simba na Yanga kwamba kumfunga mtani wa jadi kuna raha yake,lakini raha hiyo ina umuhimu gani kama mshindi wa mechi hachukui ubingwa mwishoni mwa ligi!!!

Good point, na ninakubaliana na wewe 100%, kwenye hili!

6. Can we move beyond party politics and focus on the fate of our nation,PLEEEEZ.

I can't wait for that day hapa forum, when tutakapofikia hii point yako ya mwisho, hata mimi nimesali sana na hili hapa forum, lakini so far Mungu hajanisikia!

Heshima Mbele Mkuu, Great debate ila ninaomba ku-retire sasa!
 
Heshima yako Mkuu FMES,always naskia raha kujadiliana na great minds like you.Ni sawa na kupata tuition ya bure,which is a great privilege kwangu.

Kuhusu mfano wa RA na mwenyekiti wa CCM Mkoa au Wilaya,point yangu ilipaswa ilikuwa kwenye "nafasi za viongozi hao katika maeneo yao,na namna wanavyoweza kutumia nafasi hizo kwa manufaa ya chama na wananchi kwa ujumla."Pengine mfano huo haukuwa mwafaka sana lakini tunaweza kuwa-replace waungwana hao na figures like Makamba (ambaye ni senior kwa RA),EL na huenda hata Muungwana mwenyewe.Mtu pekee ambaye,japo sina hakika, anaweza kuto-succumb kwenye influence ya RA ni Malecela,sio kwa vile ni national VC na senior kwa RA in the party hierarchy,bali hate him or like him,huyo Mzee bado ana nafasi yake ya kipekee ktk chama chenu.Whether anaitumia vizuri nafasi hiyo or not ni suala jingine,lakini hoja hapa ni kwamba mmebakiwa na "vichwa" vichache sana vinavyoweza kusema "NO" kwa mafisadi
 
hapo ^^ kama unasema ccm ya sasa sio ya wanachama iweje ccm "hao viongozi uliowataja" wanapiga kampeni za nguvu na huibuka washindi ? unadhani matokeo haya ni kwa sababu ya hao viongozi uliosema ndio wenye chama au hao wanachama ambao umesema sio wenye chama ??

Sikutegemea uulize swali kama hili kuhusiana yanayojiri ndani ya CCM. Kwa kifupi wanaoshinda wanatumia pochi kubwa la wafanyabiashara mbali mbali ambao wamewaweka viongozi wa CCM mifukoni mwao. Hivyo si ajabu sasa hivi misururu ya wagombea inaongozana kwa wafanyabiashara mbali wa kihindi na wa kiarabu wakiwemo akina Manji na Bakhressa ili wakakatiwe pochi kubwa tayari kwa kutoa RUSHWA! CCM imeoza na hii sio siri!
 
hapo ^^ chembe chembe ya maneno uliyosema naweza kukubaliana nayo ! lakini je wapinzani hawatoi rushwa ? hivi unadhani kama kweli ccm ingetaka kushinda hivyo viti 3 sijui 4 wapinzani walivyoshinda unadhani wasingetoa rushwa na kushinda ? kumbukeni kwamba wengi muda mwingi kama sio muda wote wameizoea ccm, hivyo hujua machache kuhusu upinzani, ukizingatia masuala ya teknolojia kama vile runinga, magazeti ndio kwanza yameanza kuingia hivi karibuni tanzania ambako wengi wa wapiga kura hawakuwa exposed to political parties.

Mfano, unaweza kwenda kijijini na ukakuta bibi wa watu maskini analima mpunga wake, kibanda chake kipo pembeni, GUESS WHAT STANDING ON THE POLL ?? BENDERA YA CCM, sasa you cant blame ccm for this things kwa kuwa walikuwa prepared tokea zamani, leo hii uende ukamwambia bibi wa watu sijui wapinzani hivi hivi na vile unadhani atakuelewa, hiyo ndio sababu kubwa ya wananchi kuifahamu na kuwa used kwa chama tawala, so we cant say RUSHWA played a big part in winning its seats, angalau sikatai kwamba rushwa huwepo hapa na pale !!
 
CCM imeoza na hii sio siri!

Mkuu Bubu,

Siku zote ninaheshimu michango yako na topic zako, ila kwenye hili hata na wewe hujitendei haki, maana kama CCM imeoza basi na sisi wananchi tunaoichagua ndio tunatoka usaaa kabisaa kwa kuoza, au?
 
Jakaya alishinda kwa asilimia ngapi vile ???


oohh, 80% halafu ccm imeoza, basi walioichagua ccm jamani they are beyond explanation !

lakini lets care less kuhusu ccm, bali tuangalie kule taifa letu linakoelekea na hii ni kwa kujumuisha vyama vyote vya siasa tanzania !

Jakaya sio rais wa ccm, bali ni wa watanzania !
 
CCM ni chama kikongwe Tanzania hivyo kinatakiwa kiwe mfano mzuri kwa vyama vya upinzani. Na kwa maoni yangu sio sawa kabisa kusema kwa sababu wapinzani wanatoa rushwa basi na CCM wafanye hivyo! Huko ni kujishushia hadhi kwa chama hicho.

Kaka siku zote hawezi kuiga kibaya anachofanya mdogo wake, kaka anayeiga kibaya kinachofanywa na mdogo wake basi ana kasoro kubwa sana kichwani mwake.
 
hapo ^^ kama unasema ccm ya sasa sio ya wanachama iweje ccm "hao viongozi uliowataja" wanapiga kampeni za nguvu na huibuka washindi ? unadhani matokeo haya ni kwa sababu ya hao viongozi uliosema ndio wenye chama au hao wanachama ambao umesema sio wenye chama ??

You dont need to read between the lines kupata jibu la swali hilo.Anyway,hakuna dhambi kurudia kwa ufupi.Sababu ni,moja,the so-called KAMPENI ZA NGUVU ni another word for utilizing RESOURCES ZA KUMWAGA kwa wagombea (ambao unfortunately,hivi karibuni wamejumuisha watu ambao affiliation yao pekee na CCM ni yale magwanda ya kijani na nyeusi na ukweli kwamba ni thru CCM ndio business,NOT POLITICAL, ambitions zao zita-succeed).Pili,nimetaja role ya Umasikini wa Watanzania (majority of whom ni wanachama wa CCM).It's fedha yako,na wala sio huyo ni mwenzetu au la,kinachokuwezesha kuota kuwa kiongozi wa CCM.Forget about sera,kanuni,mwongozo na manifesto.Pengine unaweza kutafuta ile topic kuhusu speech ya Idd Simba kuhusu how loss of hope inavyopelekea baadhi ya mabinti kutoogopa ukimwi alimradi watapata kidogodogo cha kuwafanya waione kesho.Au namna watu wanavyokubali kuuza utu wao na kununuliwa kama bidhaa (sometimes wanajikuta wamefungiwa mahala ili wasinunuliwe na mgombea mwingine) kwa vile tu uhuru na utu wao umegeuka kuwa na umuhimu mdogo kuliko vijisenti kutoka kwa wagombea.

Hivi kama una nyumba lakini mmoja wa wapangaji ndie mwenye maamuzi yote katika nyumba hiyo kutokana na uwezo wake wa kifedha,itakuwa kosa kusema kuwa ESSENTIALLY nyumba hiyo sio yako bali ya mpangaji huyo?Wenye CCM asili ni nyie mnaotarajia kuona chama hicho kikiishi kulingana na matarajio yenu na watanzania kwa ujumla,wenye CCM "wapya" (au HALISI?) ni hao MAFISADI ambao kwao CCM ni daraja la kuyafanya maisha yao kuwa tambarare.Hii haihitaji diploma ya CCM Kivukoni,au ule utaratibu wenu wa zamani wa kwenda darasani kabla hujapewa uanachama,kuelewa namna picha kamili ilivyo.
 
CCM ni chama kikongwe Tanzania hivyo kinatakiwa kiwe mfano mzuri kwa vyama vya upinzani. Na kwa maoni yangu sio sawa kabisa kusema kwa sababu wapinzani wanatoa rushwa basi na CCM wafanye hivyo! Huko ni kujishushia hadhi kwa chama hicho.

Kaka siku zote hawezi kuiga kibaya anachofanya mdogo wake, kaka anayeiga kibaya kinachofanywa na mdogo wake basi ana kasoro kubwa sana kichwani mwake.

tupo pamoja ! Kumbuka anapokosea mwanachama/kiongozi wa ccm, hatusemi ccm haifai ! tunasema yule mwanachama/kiongozi ndio hafai !
 
tupo pamoja ! Kumbuka anapokosea mwanachama/kiongozi wa ccm, hatusemi ccm haifai ! tunasema yule mwanachama/kiongozi ndio hafai !

Lakini ikiwa idadi ya viongozi wanaofanya maovu hayo inazidi kuongezeka kila kukicha, na wale walio ndani ya CCM wanaojaribu kukemea maovu hayo wananyamazishwa kwa namna moja au nyingine na hakuna sauti yeyote ndani ya CCM kuonyesha kuwaunga mkono, basi haiwi tena mwanachama/kiongozi fulani ndio hafai bali CCM yote inaonyesha kulinda uozo ulioshamiri ndani ya CCM na siri kali, kama hali hii isingekuwa kweli basi tungesikia sauti zikiunguruma toka ndani ya CCM kukemea maovu mbali mbali. Kilichoshamiri ni kimya kizito!...Na kimya kizito kina MSHINDO!
 
Jakaya alishinda kwa asilimia ngapi vile ??.......oohh, 80% halafu ccm imeoza, basi walioichagua ccm jamani they are beyond explanation !

Kwani mara ya Mwisho Saddam Hussein alishinda kwa asilimia ngapi?Mobutu je?Na hivi Amin angekuwa madarakani angeshinda kwa asilimia ngapi?What about Mugabe?

Kinachowapa watawala wetu jeuri ya kusema "uchumi umekuwa...umasikini umepungua..." ni ufahamu wao kwamba kuna wananchi wana mahaba sana na takwimu pasipo kutafsiri takwimu hizo into uhalisia.By the way,JK alistahili ushindi wa asilimia 99.9 ukizingatia investments zake kwa miaka kumi baada ya kubwagwa na Mkapa 1995.Changanya hilo na "rafu za kawaida" za chama tawala ktk Afrika yetu kuhakikisha piga ua lazima mgombea ashinde.

If you could move beyond mahaba ya takwimu,la muhimu sasa ni namna JK anavyotafsiri hizo asilima 80 into matarajio ya wananchi.The more the percentage a candidate gets in an election,the bigger the mandate and legitimacy he's given to turn the voters' expectations into reality.
 
Lakini ikiwa idadi ya viongozi wanaofanya maovu hayo inazidi kuongezeka kila kukicha, na wale walio ndani ya CCM wanaojaribu kukemea maovu hayo wananyamazishwa kwa namna moja au nyingine na hakuna sauti yeyote ndani ya CCM kuonyesha kuwaunga mkono, basi haiwi tena mwanachama/kiongozi fulani ndio hafai bali CCM yote inaonyesha kulinda uozo ulioshamiri ndani ya CCM na siri kali, kama hali hii isingekuwa kweli basi tungesikia sauti zikiunguruma toka ndani ya CCM kukemea maovu mbali mbali. Kilichoshamiri ni kimya kizito!...Na kimya kizito kina MSHINDO!

ni kweli KABISA, lakini pia tusilegeze macho kwa ccm peke yake, hata huku kwingine kwa jirani zetu kuna ya kutokea lakini we just dont dig in deep !!
 
Kwani mara ya Mwisho Saddam Hussein alishinda kwa asilimia ngapi?Mobutu je?Na hivi Amin angekuwa madarakani angeshinda kwa asilimia ngapi?What about Mugabe?

Kinachowapa watawala wetu jeuri ya kusema "uchumi umekuwa...umasikini umepungua..." ni ufahamu wao kwamba kuna wananchi wana mahaba sana na takwimu pasipo kutafsiri takwimu hizo into uhalisia.By the way,JK alistahili ushindi wa asilimia 99.9 ukizingatia investments zake kwa miaka kumi baada ya kubwagwa na Mkapa 1995.Changanya hilo na "rafu za kawaida" za chama tawala ktk Afrika yetu kuhakikisha piga ua lazima mgombea ashinde.

If you could move beyond mahaba ya takwimu,la muhimu sasa ni namna JK anavyotafsiri hizo asilima 80 into matarajio ya wananchi.The more the percentage a candidate gets in an election,the bigger the mandate and legitimacy he's given to turn the voters' expectations into reality.

hao wote uliowataja ni marehemu kasoro Mugabe, halafu second sio watanzania so i they dont stand a greater chance in me kuanza kuwachambua ilihali viongozi wetu (wa vyama vyote) wanahitaji uchambuzi kamilifu !

Shukrani !
 
Back
Top Bottom