KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Mwanakijiji mbona unatake vitu sooooo personal ?? never will i be scared of being dragged behind by wakuu wengine, bali i will be scared pale nitakapoona sipati nafasi ya kuexpress ninachotaka kuexpress bila ya kuwekewa chuki na maneno ukizingatia hapa wote tupo kwa ajili ya kuitetea nchi yetu angalau ( sina uhakika na uwepo wako wewe hapa forum to be honest with you)! kama kweli unataka boliti zitoke mwanakijiji sidhani kama kutakalika humu, na wakati boliti zinatolewa misingi fulani iangaliwe kwa maana wengine wapo hapa kuleta distraction kwenye mada hasa pale zinaponoga.
Mie kutaka kuongoza watu hilo sio kweli mkuu, hapa forum bana lazima ujue nini kinachoendelea. Wewe na mimi tukiwa wachezaji, achilia mbali na hao watazamaji tunaweza tusione hii kitu. Lakini hapa kama nia ni kuharibu kitu fulani (ambacho hakijawekwa wazi bado na sidhani kama kitawekwa wazi) huwezi kufanikiwa bila ya kuzungumza the good side of it, kwa maana kwamba usinyime credit when its due, na ukifanya hivyo basi kuwa tayari for damage/changes if you. Hapa forum kulikuwa na mtazamo mmoja tu ambao kwa sasa umepungua baada ya kuanza kupiga kelele (ambazo wewe unadai nataka kuongoza watu) kwamba hatuwezi kusema watu fulani wabaya toka chama fulani na kuanza kugeneralize chama kizima, (inafahamika kwamba kuna wabaya ndani ya vyama vyote vya siasa, kubali ukatae ) ! sasa baada ya kutaka kubadirisha akili za watu na kuona chama fulani ni kibaya BILA YA KUSEMA YALE MAZURI WALIYOFANYA PALE WALIPOSTAHILI KUFANYIWA HIVYO, nilipokuwa nasema tuangalie mambo shilingi pande zote mbili, ikawa rahisi sana watu kubadirisha muelekeo wa situation nzima na nilishasema tokea zamani kwamba lazima tuangalie pande zote mbili ili ziwe BALANCED, then baada ya kufanya hivyo HAKI itakuwa imetendeka, na mbeleni sidhani kama watu wangeweza kubadiri mwelekeo wao kama sasa hivi walivyofanya !
Na sasa kuna huu mvutano humu JF lakini still HAKI haitendeki ! kama mtakubali sawa, na kama mtakataa sawa vile vile !!
Naona kelele nilizopiga hazikusaidia na sasa imetokea nilichosema ! lakini anyway, boriti simwagi nitakaa nazo mwenyewe maana ni nyingi sana after all its not worth it baada ya vitu kutendwa tayari !