Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Sio rahisi kusema. TULICHEZEWA SANA au MAJIZI NA MAFISADI au NANYOOSHA NCHI kwa ungenge. Sema lawama ziende kwa Rasi Simba

sent from my BBC using JamiiForums mobile app
 
Heshima Kwenu,

Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.

Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.

Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.

Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unakereka nini kama siyo Wehu na wendawazimu ? Kikwete ulisema anasafiri sana nje, Jpm tena mbona hasafiri hadi unakereka. Wewe ni Mbwa , bweka hadi uchoke. Hatutishwi na kinyago.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka aende nje ili wewe ubaki huku unafanya nini! andiko lako linatia shaka sana.
 
Lugha iloyokuja na jahazi si jambo la kisport sport
 
Unataka aende ili na yeye awekwe kizuizini kama ndege yetu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
a7646e5c7d79febba7518e6f2f2fd0be.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni wazee kausheni usimzodoe mtu kashika mpini we umeshika makali!akimind atabana zaidi ela afu tutaumia.maana kuna watu wana bifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima Kwenu,

Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.

Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.

Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.

Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Lugha ya ChiVenda (kiVenda) ya kabila moja la South Afrika wanasema 'Mulilo wa mbava hauolwi' yaani Moto wa mwizi hauotwi- literally inamaanisha ukikaana na mwizi au wezi mnaota moto, maaza kuongea mambo yenu lakini mwisho au ukizoea wezi watakufundisha na wewe kuwa mwizi. Maana hakuna utakapo pona na vishawishi vyao. Hivyo kuota moto wa mwizi is on your own risk!
Sasa nyinyi watanzania kama mnapenda nchi yenu munge jitahidi kuomba misikitini, makanisani, kimoyomoyo, hata kwa sangoma na kimulimuli kusudi Raisi wetu asiende nje ya mipaka yetu mpaka amalize mda wake wote (2025). Kwa sababu tukianza na SADC: Angola raisi wake ndiye tajiri kuliko mtu yeyote Angola na wa pili ni binti yake; Swaziland mfalme Dlamini ndiye anaye ongoza kwa utajiri nchini; South Africa Zuma mmemsikia (Nkadla yake na wale wahindi wakina Gupta): Zimbabwe sote tunajua. vile vile Zambia, Congo DR, Madagascar na Msumbiji Unafuu uko Botswana na Namibia. Sasa mnapokuwa mnastarehe kidogo baada ya kazi ngumu mnaanza kuongea kama wanaume waongeavyo. Kufundishana mbinu za kutajirika kutumia rasilimali za nchi zenu. Pia katika mikutano hiyo huwa wazungu wengi wanakuwepo (wengi sana hata kuzidi waafrika wenye mikutano yao!). Ndipo akili ya waafrika ina badirika. Kwa hiyo nafikiri tuko salama so far kama raisi wetu akibaki nyumbani, mpaka amalize ahadi zake.
Tukija EAC hali ni hiyo hiyo, ulizia nani tajiri kuliko wote Kenya! hivyo tumuombee aendelee kuwa focused kusudi atuletee maendeleo. Pia nafikiri watu wanaotaka asafiri wanajifikiria wangekuwa wao wenyewe- wanawaza mambo ya zamani ya imprest, kutengeneza hela. hayo mambo baada ya kuweka nchi sawa vitu hivyo vitakuwa havina maana sana. kila kitu kitakuwa kinapatikana Tanzania. Nenda Botswana, Namibia hata South Africa umwambie mtu asafiri nje! Atakushangaa!. Uswahili na umasikini ndio unatufanya tutake kusafiri. Mda si mrefu hayo yatakwisha- Maana uchumi utakapo kuwa mzuri utaona kusafiri unapoteza hela, inakuwa hasara.
 
Majina huzaa tabia. Baba hurithisha watoto tabia zake. Wewe ni kati ya watu duni sana na wapumbavu ambao dunia imepata kuwa nao. Wewe ni hasara kwa baba yako na mzigo kwa mama yako na aibu kwa taifa. Toka lini ukawa mtetezi wa Ikulu? Nenda fb ukatukane. Ndiko waliko la saba wenzako wa Lumumba. Ta.. t!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Lugha ya ChiVenda (kiVenda) ya kabila moja la South Afrika wanasema 'Mulilo wa mbava hauolwi' yaani Moto wa mwizi hauotwi- literally inamaanisha ukikaana na mwizi au wezi mnaota moto, maaza kuongea mambo yenu lakini mwisho au ukizoea wezi watakufundisha na wewe kuwa mwizi. Maana hakuna utakapo pona na vishawishi vyao. Hivyo kuota moto wa mwizi is on your own risk!
Sasa nyinyi watanzania kama mnapenda nchi yenu munge jitahidi kuomba misikitini, makanisani, kimoyomoyo, hata kwa sangoma na kimulimuli kusudi Raisi wetu asiende nje ya mipaka yetu mpaka amalize mda wake wote (2025). Kwa sababu tukianza na SADC: Angola raisi wake ndiye tajiri kuliko mtu yeyote Angola na wa pili ni binti yake; Swaziland mfalme Dlamini ndiye anaye ongoza kwa utajiri nchini; South Africa Zuma mmemsikia (Nkadla yake na wale wahindi wakina Gupta): Zimbabwe sote tunajua. vile vile Zambia, Congo DR, Madagascar na Msumbiji Unafuu uko Botswana na Namibia. Sasa mnapokuwa mnastarehe kidogo baada ya kazi ngumu mnaanza kuongea kama wanaume waongeavyo. Kufundishana mbinu za kutajirika kutumia rasilimali za nchi zenu. Pia katika mikutano hiyo huwa wazungu wengi wanakuwepo (wengi sana hata kuzidi waafrika wenye mikutano yao!). Ndipo akili ya waafrika ina badirika. Kwa hiyo nafikiri tuko salama so far kama raisi wetu akibaki nyumbani, mpaka amalize ahadi zake.
Tukija EAC hali ni hiyo hiyo, ulizia nani tajiri kuliko wote Kenya! hivyo tumuombee aendelee kuwa focused kusudi atuletee maendeleo. Pia nafikiri watu wanaotaka asafiri wanajifikiria wangekuwa wao wenyewe- wanawaza mambo ya zamani ya imprest, kutengeneza hela. hayo mambo baada ya kuweka nchi sawa vitu hivyo vitakuwa havina maana sana. kila kitu kitakuwa kinapatikana Tanzania. Nenda Botswana, Namibia hata South Africa umwambie mtu asafiri nje! Atakushangaa!. Uswahili na umasikini ndio unatufanya tutake kusafiri. Mda si mrefu hayo yatakwisha- Maana uchumi utakapo kuwa mzuri utaona kusafiri unapoteza hela, inakuwa hasara.
Mkuu Kitwa naheshimu mchango wako ingawa una asilimia ndogo ya uhalisia.
Mfundishe Makusudi ustaarabu maana naona amechanganyikiwa kwa kumpenda Mkulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana Madeni Ya Ukurupukaji Wa Mikataba Akitoka Atadakwa Badala Ya Bombudaya
 
We unazungumzia mikutano , mwenzenu hata kuhudhuria misiba anatuma wawakilishi iwe misiba ndani ya nchi haudhuriii ya nje ndo kabisaa wala hataki kuisikia.
 
Heshima Kwenu,

Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.

Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.

Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.

Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh
Nyie ndio wale wale.
Debe tupu. ..
Subili wewe ukiwa raisi hudhulia hata kitchen party

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom