Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Kuna kila sababu Rais kufikiria upya, mikutano hiyo ni ina maana sana, Tanzania siyo kisiwa, kuna mahali uzito wa mkuu wa nchi unatakiwa kuliko makamu wake
 
Heshima Kwenu,

Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.

Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.

Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.

Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo yai, a.k.a ngeli
 
Lack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..

He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Kuna wakalimani man ..usiwe mshamba hivo
 
Ahudhurie akaongee nini?kule hakuna anayependa kufundishwa kutumia mabavu kwa watawaliwa wake,kuua upinzani,wale wana akili zao.na wanakubali kupangiwa na wananchi wao kwakua ndio walio waajiri.huyu kachukua fomu mwenyewe na kawawekwa hapo alipo na lubuva.Mungu sikuiti uhukumu ila shuka,ili ushushe kuburi cha huyu mungu bahari.Mungu mtu huyu amejiinua kuliko upeo,Wewe na uliowaumba, kwake sio kitu.tuonyeshe uwezo wako juu yake ili ajue hawezi kushindana nawe,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, mara ushageuka kuku!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom