Wewe unakereka nini kama siyo Wehu na wendawazimu ? Kikwete ulisema anasafiri sana nje, Jpm tena mbona hasafiri hadi unakereka. Wewe ni Mbwa , bweka hadi uchoke. Hatutishwi na kinyago.Heshima Kwenu,
Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.
Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.
Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.
Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Lugha ya ChiVenda (kiVenda) ya kabila moja la South Afrika wanasema 'Mulilo wa mbava hauolwi' yaani Moto wa mwizi hauotwi- literally inamaanisha ukikaana na mwizi au wezi mnaota moto, maaza kuongea mambo yenu lakini mwisho au ukizoea wezi watakufundisha na wewe kuwa mwizi. Maana hakuna utakapo pona na vishawishi vyao. Hivyo kuota moto wa mwizi is on your own risk!Heshima Kwenu,
Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.
Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.
Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.
Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kitwa naheshimu mchango wako ingawa una asilimia ndogo ya uhalisia.Katika Lugha ya ChiVenda (kiVenda) ya kabila moja la South Afrika wanasema 'Mulilo wa mbava hauolwi' yaani Moto wa mwizi hauotwi- literally inamaanisha ukikaana na mwizi au wezi mnaota moto, maaza kuongea mambo yenu lakini mwisho au ukizoea wezi watakufundisha na wewe kuwa mwizi. Maana hakuna utakapo pona na vishawishi vyao. Hivyo kuota moto wa mwizi is on your own risk!
Sasa nyinyi watanzania kama mnapenda nchi yenu munge jitahidi kuomba misikitini, makanisani, kimoyomoyo, hata kwa sangoma na kimulimuli kusudi Raisi wetu asiende nje ya mipaka yetu mpaka amalize mda wake wote (2025). Kwa sababu tukianza na SADC: Angola raisi wake ndiye tajiri kuliko mtu yeyote Angola na wa pili ni binti yake; Swaziland mfalme Dlamini ndiye anaye ongoza kwa utajiri nchini; South Africa Zuma mmemsikia (Nkadla yake na wale wahindi wakina Gupta): Zimbabwe sote tunajua. vile vile Zambia, Congo DR, Madagascar na Msumbiji Unafuu uko Botswana na Namibia. Sasa mnapokuwa mnastarehe kidogo baada ya kazi ngumu mnaanza kuongea kama wanaume waongeavyo. Kufundishana mbinu za kutajirika kutumia rasilimali za nchi zenu. Pia katika mikutano hiyo huwa wazungu wengi wanakuwepo (wengi sana hata kuzidi waafrika wenye mikutano yao!). Ndipo akili ya waafrika ina badirika. Kwa hiyo nafikiri tuko salama so far kama raisi wetu akibaki nyumbani, mpaka amalize ahadi zake.
Tukija EAC hali ni hiyo hiyo, ulizia nani tajiri kuliko wote Kenya! hivyo tumuombee aendelee kuwa focused kusudi atuletee maendeleo. Pia nafikiri watu wanaotaka asafiri wanajifikiria wangekuwa wao wenyewe- wanawaza mambo ya zamani ya imprest, kutengeneza hela. hayo mambo baada ya kuweka nchi sawa vitu hivyo vitakuwa havina maana sana. kila kitu kitakuwa kinapatikana Tanzania. Nenda Botswana, Namibia hata South Africa umwambie mtu asafiri nje! Atakushangaa!. Uswahili na umasikini ndio unatufanya tutake kusafiri. Mda si mrefu hayo yatakwisha- Maana uchumi utakapo kuwa mzuri utaona kusafiri unapoteza hela, inakuwa hasara.
Rais wa Namibia ana PhD, Mugabe ana Degree saba!!Ha ha ha! Hivi SADC kuna mkuu yeyote wa nchi mwenye PhD? Taongea nini na mavilaza wewe?
Haha magufuli nae jmn muongo kwaio hizi siku mbili tatu wakt wenzake wapo kwene kikao amewanyoosha wangapi, hivi ao wapigaji anae wazuia ni magufuli peke ake au ni watendaji wengine wa serikaliAlishasema ananyoosha kwanza nchi na pia analinda wapigaji wasije wakaiba
MhhhHeshima Kwenu,