econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kapagawa au kaamua tu makusudi
Kwani umesahau mdude nyagali alibambikiwa kesi ya madawa. Ashukuru uongozi ulibadilika Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapagawa au kaamua tu makusudi
irrelevantTofautisha conviction na Rulling of no case to answer
Hivi Kwa nini wanachama wa CCM mmechagua upumbavu kuwa sera yenu rasmi? Pambalu kaongea kaeleweka Kwa kusema kuna wanachama wengi wa CHADEMA bado wako magerezani Kwa kesi za kusingiziwa ikiwemo madawa ya kulevya. Akamwomba mh Mbowe apeleke hoja Kwa Rais waliobambikiwa kesi waachiwe mara moja. Wewe unakuja na upuuzi wako hapa utadhani unaharisha?CHADEMA leo imeanza mikutano yake ya hadhara jijini Mwanza. Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kuzungumza ni Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu ameomba mwenyekiti wa chama hiko apeleke hoja kwa Mhe. Rais Samia Suluhu kuwa waliokamata kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru waendelee na kazi zao CHADEMA.
View attachment 2490277