Mkutano wa CHADEMA: Pambalu aomba waliokamatwa kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru kuendelea na kazi zao CHADEMA

Hivi Kwa nini wanachama wa CCM mmechagua upumbavu kuwa sera yenu rasmi? Pambalu kaongea kaeleweka Kwa kusema kuna wanachama wengi wa CHADEMA bado wako magerezani Kwa kesi za kusingiziwa ikiwemo madawa ya kulevya. Akamwomba mh Mbowe apeleke hoja Kwa Rais waliobambikiwa kesi waachiwe mara moja. Wewe unakuja na upuuzi wako hapa utadhani unaharisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…