Mkutano wa dharula: Godbless Lema anaenda kupasua jipu

Mkutano wa dharula: Godbless Lema anaenda kupasua jipu

Lema angetulia kwanza. Halafu chama kisikae kimya kwenye matamko controversial ya Lema.
Mkuu unafaham mgonjwa ambaye yupo ICU na kwa mtizamo wa Dr, amempima na kuhisi kakata moto nini anafanyiwa wkt vipimo vimeonyesha hali hiyo?.
 
Tukuulize wewe uliyeibiwa naye! Alikuibia lingine Tena? Japo Nina uhakika hujawahi kumiliki gari na hata kwenye ukoo wenu mnaishia kuona za majirani tu!
Mbona unamhemko ndugu!!Bado haujajibu swali langu.Lema aliacha wiz na ujambaz wa magari lini?
 
Midomo michafu ya Tundu Lissu na Godbless Lema ikoje? Hebu thibitisha..

Lakini Kwa hakika kabisa, kama huwa humwelewi na ku - admire Tundu Lissu Kila anapojenga hoja zake, basi wewe 1000 digits ni mjinga kabisa.!

Tatizo lenu mmezoea kusikiliza politicians waongo waongo na wanaopenda kupaka rangi upepo.

Watu kama Tundu Lissu na Godbless Lema walishakataa ujinga huo.

##Kama kitu ni nyeupe, lazima useme ni nyeupe na siyo nyeusi.

##Kama u - bodaboda ni moja ya indicator ya umasikini na umasikini ni LAANA katika jamii, basi sema hivyo na siyo kusema "huo ni magawanyo wa majukumu"

##Sasa kama kuusema ukweli kama ulivyo ni "kutotumia lugha ya hekima na busara" Kwa mtazamo na maoni yako, basi wewe ni mjinga na mnafiki mkubwa usiyestahili kusikilizwa!!
Ajitahidi kukuelewa kama ana akili zinazofanya kazi vizuri.
 
Bange la Canada bado lipo kichwani,Miongoni mwa nchi zilizoruhusu hii kitu ni Canada, na inajulikana wazi machalii wengi wa Arasuga wanavyolikoka na kuisujudu hii kitu, halafu aende pahala akute limeruhusiwa, unadhani itakuwaje?
 
Kuna kitu hakika sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao.
View attachment 2540448
Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio karibu msisite kutoa updates.

Kupitia ukurasa wake wa tweeter Lema amesema;

"Kamanda John Heche,Peter Msigwa , John Pambalu,Prof Lwaitama,Ezekiel Wenje na Viongozi wengine tutakuwa na mkutano wa hadhara ktk viwanja vya soko kuu leo kuanzia Saa 8 Mchana."

Yaan huwa sielewi watu wa arusha wanampendea nini lema? Maana nachojua Lema ni tapeli tapeli tu maneno yake hayana busara lakin dah arusha huiambii kitu na lema!
 
Akajenge hoja yake vizuri. Atumie lugha za busara na kujenga sio kuita kazi za wengine laana. Kama anadhani hawezi kueleweka, chama kifafanue
Kichaa kapewa rungu.Kumdhibiti na kakimbia na rungu ni kazi kubwa.Mjitayarishe kwa damage controll.
 
Kuna kitu hakika sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao.
View attachment 2540448
Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio karibu msisite kutoa updates.

Kupitia ukurasa wake wa tweeter Lema amesema;

"Kamanda John Heche,Peter Msigwa , John Pambalu,Prof Lwaitama,Ezekiel Wenje na Viongozi wengine tutakuwa na mkutano wa hadhara ktk viwanja vya soko kuu leo kuanzia Saa 8 Mchana."

Tangazo linasema Mkutano wa Hadhara, sio Zarula (Dharura). Hii Zarula Yako ni Chumvi umeongezea. Hata hivyo, inatia moyo kwamba watu mna hamu na mikutano. Mlikuwa mmeimiss!. Ni haki yenu
 
Yaan huwa sielewi watu wa arusha wanampendea nini lema? Maana nachojua Lema ni tapeli tapeli tu maneno yake hayana busara lakin dah arusha huiambii kitu na lema!
😁 Wanachuga wanapenda mtu disaini ya Lema as wao walivyo, alafu elewa watu wa arusha ni aina ya watu jiwe as alivyokuwa jeshi la mtu mmoja, they don't care what's!.
 
Ndugu unayetukana watu kuwa wajinga na wapumbavu.Ebu tueleze Lema alishaacha ujambaz wa kupora na kuiba magariImo
A: kumusoma umetoka wapi tena na wewe unarukia treni Kwa mbele?

Nani kakuambia "ujinga" na "upumbavu" ni tusi?

Hizo ni sifa za kitu au mtu...

UJINGA ni kutojua au kutokuwa na taarifa sahihi juu ya jambo au mtu fulani.

UPUMBAVU ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga ulio beyond repairable

Sasa wewe kumusoma uko kwenye kundi gani kati ya hayo mawili? Mjinga au mpumbavu au uko kotekote?

B. Kuhusu uporaji na ujambazi wa Godbless Lema. Wewe ndiye wasema. Na Kwa sababu hiyo wewe ndiye unayetakiwa kuthibitisha kwa ushahidi kuwa ni mpora magari ya watu..

Ukishindwa ku - prove, basi wewe kumusoma utakuwa si tu MJINGA bali wewe utakuwa ni MPUMBAVU uliyekubuhu Kwa kutuhumu watu bila ushahidi au Kwa kusikia umbea wa watu..!!
 
Midomo michafu ya Tundu Lissu na Godbless Lema ikoje? Hebu thibitisha..

Lakini Kwa hakika kabisa, kama huwa humwelewi na ku - admire Tundu Lissu Kila anapojenga hoja zake, basi wewe 1000 digits ni mjinga kabisa.!

Tatizo lenu mmezoea kusikiliza politicians waongo waongo na wanaopenda kupaka rangi upepo.

Watu kama Tundu Lissu na Godbless Lema walishakataa ujinga huo.

##Kama kitu ni nyeupe, lazima useme ni nyeupe na siyo nyeusi.

##Kama u - bodaboda ni moja ya indicator ya umasikini na umasikini ni LAANA katika jamii, basi sema hivyo na siyo kusema "huo ni magawanyo wa majukumu"

##Sasa kama kuusema ukweli kama ulivyo ni "kutotumia lugha ya hekima na busara" Kwa mtazamo na maoni yako, basi wewe ni mjinga na mnafiki mkubwa usiyestahili kusikilizwa!!
Tofautisha Hadhi ya nafasi ya urais na siasa za kijinga jinga. Lisu aligombea mpaka urais Kwa maana kwamba alitaka kuwa Rais.
Hakuna Rais Bora Tanzania kama Magufuli tangu kuumbwa Kwa kipande Cha Afrika hajawahi kutokea Mtawala Bora kama Magufuli.
Kilichomharibia JPM ni maneno yaliyopitiliza. JPM angekua anachuja maneno huenda hata lawama nyingine zisingemfikia na kimharibia Yale mema Mengi aliyoyafanya.

Wewe ni mwanasiasa wa Juzi na unawaza siasa za kishule shule au Chuo. Hii ni nchi kubwa sana. Huwezi kuwa na Kiongozi asiye na mipaka ya kuongea.

Huwezi kusema kuwa bodaboda ni biashara ya Laana kwenye majukwaa wakati wewe sio mhubiri wa dini Bali ni mwanasiasa ambaye una Upinzani wa Kisiasa mkubwa . Lema asiafikiri Jimbo la Arusha Kwa Sasa ni Jepesi. No. asahau kabisa lile Jimbo kulipata kirahisi. Hata pakiwa na Tume huru.

Saisa zikikosa ustarabu wanaoumia ni wapinzani sio Chama Tawala.
Hivi wale mabodaboda wakiamua kumpiga Lema mawe mitaani na kuvamia nyumba yake na kuchoma moto atawafanyaje?

Unataka siasa za kistarabu halafu unatukana watu.

Hivi Kwa hulka za kibinadami ukiona mtu ana sura mbaya Kwa mtu mwenye busara unaweza kumatamkia kuwa una sura mbaya na pakawa na utulivu tuu. ?

Kuna Vijana wengi wanaendesha maisha yao Kwa kutumia biashara ya Bodaboda.
Mtu ana mtaji wa Milioni Tatu unataka akajenge hoteli ya kitalii au afungue sheli ya mafuta kama Lake Oil!!

Acheni siasa za kitoto. Hazina tija Kwa nchi na Kwa Chama. Mbowe ana akili sana ndio maana anasoma upepo na Chama kinasonga mbele.

Hivi unafikiri CCM ni wajinga kutowaita Vijana wa bodaboda wajinga?
Hivi unadhani ingetokea Gambo akasema Vijana wa Arusha Wana. Laana ,atapata kura ??
Lengo la mwanasiasa ni kuingia mdarakani na sio kubwabwaja majukwaani tuu.

Chama kimekomaa kinapaswa kijiandae kushika madaraka na sio kubaki kuwa mtukanaji wa jamii eti nyeupe inaitwa nyeupe na nyeusi nyeusi. Mbona hawasemi wazi kuwa Mbowe alikiuka katiba ya Mwanzo ya Chadema na kuibadili ili Mwenyekiti asiwe na ukomo kwenye uongozi? Hii sio jambo la kusema wazi ? Kwa Nini ndani ya Chadema wanaosema wazi wanaitwa wasaliti? Jibu ni rahisi kuwa Kuna mambo kama mwanasiasa unatakiwa usiyaseme Kwa wazi mbele ya majukwaa au kwenye vyombo vya habari.

Mimi nineanza kupigia Upinzani kura Tangu mwaka 1995 na sijawahi kuichagua
CCM . Kosa la wapinzani ni kudharau kila anayekosoa Upinzani.

Hizi siasa za kishoga Toka Ulaya hazifai kuzibeba kama zilivyo. Hatuwezi kusema chochote bila kutafakari Kwa sababu ya uhuru wa kutoa Mawazo. Kwani angesema kuwa kuendesha bodaboda sio ajira ya uhakika asingeeleweka mpaka aseme ni ajira ya Laana . Kuna Vijana walianza na boda boda Moja Leo Wana bodaboda Kumi Kwa siku wanaingiza zaidi ya Elfu 70. Unamwitaje kuwa amelaaniwa mtu kama huyo.

Lema na marafiki zake wengi pale Arusha walitajirika Kwa Wizi wa madini,Ujambazi na kupora magari Kenya ,mauaji n.k. Je, hiyo ni ajira takatifu isiyo na laana ? Au Laana ni kukosa pesa nyingi za dhulma au kupata kidogo Kwa halali. ?

Laana ilikua ni biashara ya wizi ambayo Lema haisemi sana.
 
A: kumusoma umetoka wapi tena na wewe unarukia treni Kwa mbele?

Nani kakuambia "ujinga" na "upumbavu" ni tusi?

Hizo ni sifa za kitu au mtu...

UJINGA ni kutojua au kutokuwa na taarifa sahihi juu ya jambo au mtu fulani.

UPUMBAVU ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga ulio beyond repairable

Sasa wewe kumusoma uko kwenye kundi gani kati ya hayo mawili? Mjinga au mpumbavu au uko kotekote?

B. Kuhusu uporaji na ujambazi wa Godbless Lema. Wewe ndiye wasema. Na Kwa sababu hiyo wewe ndiye unayetakiwa kuthibitisha kwa ushahidi kuwa ni mpora magari ya watu..

Ukishindwa ku - prove, basi wewe kumusoma utakuwa si tu MJINGA bali wewe utakuwa ni MPUMBAVU uliyekubuhu Kwa kutuhumu watu bila ushahidi au Kwa kusikia umbea wa watu..!!
Mimi ningekua derava wa Bodaboda siku Ile aliyosema kuwa wamelaaniwa angekionacha mtema Kuni.

Angekuta na nyumba tushaitia moto ili ajue kuwa laana kweli Haina Mwenyewe.
Angekula mawe ya kutosha mpaka mikutano izuiliwe Tena .
Mikutano imeruhusiwa badala ya kujenga hoja kistarabu ili watu wavutiwe unaleta taharuki kwenye majukwaa.

Hao hao wapinzani hua wanamlalamikia Mwigulu Nchemba Kwa lugha zake Kali na za kejeli Leo hawaoni kuwa ulimi unaweza ukaleta madhara makubwa kwenye jamii. DEMOKRASIA yetu Bado ni changa inahitaji hekima kuilea. Hakuna binadamu anayependa kudharauliwa.

Kama watawala wamekula rushwa au wanahafuja Mali za umma hapo tunawasema bila kupepesa na kuwaita majina yote mabaya lakini wahanga wa utawala Bora hatuwezi kuwakashifu mana hawana kosa.
Ni sawa na Dereva mzembe anaposababisha ajali na kuleta madhara Kwa abiria wakaumia . Hatuwezi kuwakuta wahanga wa ajali na kuwaambia kuwa nyie ni wajinga na mnalaana Kwa sababu mmepanda hili gari !! Anayeweza akatukanwa au akasemwa Kwa vyovyote ni Dereva aliyesababisha ajali ya Hilo gari na sio wahanga wa ajali.
 
Back
Top Bottom