We ni bwege lisilo na aibuKwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Kunazidi kupambazuka
Kwakweli mama wa watu anajituma sana kwa ajiliya nchi yake, halafu asivyopenda makuu anataka kila mtu aweze kuambuliapo ndiyo maana anawakusanya t mama wa watuKwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Mama hilo kwake sio ishuAibu kubwa sn, mwalikwa unaenda na watu wengi lakini wajumbe/wananchama wanapeleka watu wachache, matumizi mabaya ya fedha za umma
Bwege ni wewe unaye shikiwa akiliWe ni bwege lisilo na aibu
Ndio maana watu hawapendi kulipa kodi na wanafanya kila namna kukwepa kulipa kodi kwa sababu wanaona jinsi kodi yao inavyotumiwa vibayaYanakuhusu nini sasa fanya kazi ulipe kodi, au nenda Somalia
Aaah aise hii too muchKwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Hii nchi tumerogwa siyo bure unaweza kuta wakina Steve mengele wapo kwenye ujumbeKwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Nchi ya laana hii. Utawala ukishikwa na watu wenye upeo mdogo, ndiyo matokeo yake ni kama haya.Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.
Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.
China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.
Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.
Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.
Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Kama ni kweli, dhana ya kichwa cha mwendawazimu inaendelea!hina ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Hapa tulipigwa asee ni aibu kubwa sn kuongozwa na mtu wa aina hiiMama hilo kwake sio ishu
Muulize Mtangulizi wake Magufuri aliyekata kusafiri sababu ya kubana matumizi na akafanya mambo makubwa zaidishida iko wapi kwani