Mkutano wa G20 ni Tanzania pekee imepeleka wajumbe wengi sana, watu 100+kuliko hata wajumbe wa Brazili mwenyeji

Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.

Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.

China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.

Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.

Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.

Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
We ni bwege lisilo na aibu
 
Kwakweli mama wa watu anajituma sana kwa ajiliya nchi yake, halafu asivyopenda makuu anataka kila mtu aweze kuambuliapo ndiyo maana anawakusanya t mama wa watu
 
Mambo ya uswahilini yanaakisi hadi juu.
Unampigia mtu simu aje anywe bia yeye anakuja na kundi la watu.

Akishalewa na bado atakuitia pembeni anataka aondoke na chochote kitu, mara nyumbani watoto hajawaacha na kitu.
 
Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100. Kumbuka sio mwanachama wa G20 bali kaalikwa kama zinavyo alikwaga Kenya au Rwanda au Ethiopia.

Ulaya mataifa mengi ya EU ujumbe wao ni watu takiribani 30 tu, na sabanu kubwa wanabana matumizi, nchi za ulaya ndizo zina aajumbe wachacge sana.

China ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Brazili Mwenyeji ana wajumbe 90 kwenye huo mkutano.

Cha kushangaza kabisa Tanzania ina wajumbe wengi kuliko muanaadaji wa mkutano ho Brazili.

Na mafaifa mengi kikwazo kikubwa wanakuambia ni bajeti kubana matumizi kuto tumia hovyo pesa za walipa kodi. Tanzania huo msamiati kwa Mama hauopo.

Mnakumbuka ile ziara ya India, Mama alikuwa na wajumbe wengi kulilo wenyeji? yaani Wajumbe wa Tanzania walijaza Ukumbi kule India wakiwemo wasanii wakina Stive Nyerere.
Aaah aise hii too much
 
Nikajua kuna jipya limetokea huko Brazil, kumbe ni suala la idadi au wewe ni mgeni tz
 
Hii nchi tumerogwa siyo bure unaweza kuta wakina Steve mengele wapo kwenye ujumbe
 
Nchi ya laana hii. Utawala ukishikwa na watu wenye upeo mdogo, ndiyo matokeo yake ni kama haya.

Na ile miaka ya 90, Mwinyi naye alivunja rekodi ya kupeleka wajumbe 200 kwenye mkutano wa sustainable development, huko huko Rio De Janeiro. Wengi wakiwa ni wanafamilia wa viongozi, na wala hawakuingia kwenye mkutano, wakaishia kwenye shopping.

Sijui ni kwa nini uongozi umishikwa na waswahili wa pwani, mara nyingi kunakuwa na ufujaji mkubwa wa pesa ya umma! Ni kama wapo kwaajili ya kuwakomoa wananchi, halafu wanafanya hayo bila hata ya aibu!
 
hina ina wajumbe 50
India ina wajumbe 45 tu.
Indonesia ina wajumbe 60
Japani wajumbe 39
Korea wajumbe 27
Uingereza wajumbe 30
Marekani ina wajumbe 65.
South Africa Wajumbe 40
Nigeria ilienda na wajumbe 70
Australia ina wajumbe 35
Saud Arabia ina wajumbe 60
Tanzania ina ujumbe wa watu 100
Canada 40
Mexco 62
Kama ni kweli, dhana ya kichwa cha mwendawazimu inaendelea!
 
Hawana Huruma na Kodi zetu..., ila ndio hivyo sikuhizi hawatoi ajira wala huduma zozote hivyo pesa wanajiamulia za kuzifanyia....
 
Photo Op unaenda na Watu 100?🤭🤭🫢 tate nane...
 
Back
Top Bottom