Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana



Hao wairaqw wote ni CCM, ujue tu wairaqw wajanja sana, hapo hawatabishana na CHADEMA wala kuwaonyesha kuwakataa, ila kura zikipigwa matokeo CCM 99.99% na CHADEMA 0.01% ndio utajua CCM ni ya wairaqw..!! Chadema utasikia CCM wanaiba sana, si muibe na nyie, nyoko sana
 
Watu wa Imboru sio wajinga wajinga kama kule kwenye mibuyu na vumbi
 
Chadema iliwahi kushinda Ubunge mbulu , sasa kama unaleta uongo ni vema ukawa na kumbukumbu
 
Mpiga picha anajaribu kuchuchumaa ili ionekane watu ni wengi mpaka mwisho hawaonekani
Cdm kukosa nyomi kwenye nchi hii hilo sahau. Na ccm kuwashinda cdm kihalali hilo limeshashindikana, na halitakaa liwezekane tena. Kupora uchaguzi ndio njia ya pekee ya kuwafanya ccm waendelee kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Asante kwa huruma yako , japo mimi sihitaji kulipwa kwa ajili ya ukombozi wa Nchi , bali nitachangia hata pesa taslimu ili kuleta ukombozi kupitia Chadema , chama pekee cha upinzani Tanzania
Ukombozi wa nini we lofa. Hayo wavuta bangi, wakabila, nakuonea huruma kupoteza muda wako, mpk vitukuu vyako CCM itaendelea kuongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…