Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu .

Mwenyekiti wa Kanda hiyo , Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote .

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2954777View attachment 2954778View attachment 2954827View attachment 2954829

Hao wairaqw wote ni CCM, ujue tu wairaqw wajanja sana, hapo hawatabishana na CHADEMA wala kuwaonyesha kuwakataa, ila kura zikipigwa matokeo CCM 99.99% na CHADEMA 0.01% ndio utajua CCM ni ya wairaqw..!! Chadema utasikia CCM wanaiba sana, si muibe na nyie, nyoko sana
 
Watu wa Imboru sio wajinga wajinga kama kule kwenye mibuyu na vumbi
 
Hao wairaqw wote ni CCM, ujue tu wairaqw wajanja sana, hapo hawatabishana na CHADEMA wala kuwaonyesha kuwakataa, ila kura zikipigwa matokeo CCM 99.99% na CHADEMA 0.01% ndio utajua CCM ni ya wairaqw..!! Chadema utasikia CCM wanaiba sana, si muibe na nyie, nyoko sana
Chadema iliwahi kushinda Ubunge mbulu , sasa kama unaleta uongo ni vema ukawa na kumbukumbu
 
Mpiga picha anajaribu kuchuchumaa ili ionekane watu ni wengi mpaka mwisho hawaonekani
Cdm kukosa nyomi kwenye nchi hii hilo sahau. Na ccm kuwashinda cdm kihalali hilo limeshashindikana, na halitakaa liwezekane tena. Kupora uchaguzi ndio njia ya pekee ya kuwafanya ccm waendelee kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Asante kwa huruma yako , japo mimi sihitaji kulipwa kwa ajili ya ukombozi wa Nchi , bali nitachangia hata pesa taslimu ili kuleta ukombozi kupitia Chadema , chama pekee cha upinzani Tanzania
Ukombozi wa nini we lofa. Hayo wavuta bangi, wakabila, nakuonea huruma kupoteza muda wako, mpk vitukuu vyako CCM itaendelea kuongoza
 
Back
Top Bottom