Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
- Thread starter
- #261
NIna swali hapa kwa mgombea wa nafasi ya juu kabisa......"Hivi huu uchakachuaji wa rasilimali za Watansanyia hasa Ardhi na Madini utaishi lini"? Ili wananji waweze kufaidika na rasilimali zao na sio hao walitutawala enzi kama wakoloni na leo wanarudi kama wawekezaji. Naomba jibu lenye utekelezaji sitaki longolongo
Karibu Mokoyo, umechelewa sana kwenye mkutano. Kulikoni?
Hapa hatuchagui mgombea wa nafasi yoyote ila tunajadili viapumbele tutakavyoipa serikali itakayoingia madarakani. tunasema "Agenda Kuu 2010".
Hiyo hoja ya rasilimali inakubalika sana na iliongelewa. Hata hivyo tukipata ufafanuzi wako wa kina itatusaidia sana.
karibu ukamate Mic.