Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
Wana-JF, Wakuu Wote; Viongozi Wote; Vijana Wetu (hasa wale wa jukwaa la mapenzi na mambo ya nanihii . . .)

Itifaki imezingatiwa!

Amandla!
Asalaam Aleykhum!
Bwana Yesu Asifiwe!
Haki Sawa . . .
Kidumu Chama . . .
Power to the . . .

Leo tumekutana hapa, ili kuzungumzia "Agenda Kuu 2010" ambazo wana-JF watapenda chama kitakachoingia madarakani wazisimamie . . . . Agenda zetu zimeegemea zaidi katika kuweka mbele uzalendo wetu na maslahi ya taifa . . .

Lugha ya matusi (LOL), hairuhusiwi, wala kejeli wala kutumia lugha isiyo ya kistaarabu. Mnatakiwa muwe na uvumilivu wa kisiasa.

Pia tusiegemee katika Udini wala Ukabila . . .

Baada ya Mjadala Mzito; Tutakuja na Vipaumbele vyetu vitatu kama "Agenda Kuu 2010".

Kwa maneno hayo machache sasa niwakaribishe ili muweze ku-propose "Agenda Kuu 2010" ambazo hazitafungamana na chama chochote!

Kila mmoja wenu anakaribishwa kushiriki Mkutano Wa Hadhara wa JF:
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/71880-mkutano-wa-hadhara-wa-wana-jf-%5Bonline%5D.html#post1058999

karibuni sana!
 
  1. Katiba Mpya
  2. Sheria Kandamizi tulizorithi kutoka kwa wakoloni zifutwe
  3. Reviewing laws ili ziendane na wakati tulionao
  4. Serikali ya Tanganyika
  5. .....
 
Nani mwenyekiti na Katibu,
Mbona mods hawana taarifa.
Agenda ya mkutano ni nini?
 
Acha kuruka ruka sema shida yako ni kupigia debe Chadema

Lugha ya matusi (LOL), hairuhusiwi, wala kejeli wala kutumia lugha isiyo ya kistaarabu. Mnatakiwa muwe na uvumilivu wa kisiasa.

Tunaendelea . . .
 
  1. Katiba Mpya
  2. Sheria Kandamizi tulizorithi kutoka kwa wakoloni zifutwe
  3. Reviewing laws ili ziendane na wakati tulionao
  4. Serikali ya Tanganyika
  5. .....

Kamanda, tukikuomba utoe Priority 3 tu ambazo ndiyo za lazima, ni zipi ungechagua?
 
Nani mwenyekiti na Katibu,
Mbona mods hawana taarifa.
Agenda ya mkutano ni nini?

Hakuna Mwenyekiti . . . Ila najipendekeza kuwa Mratibu! Haaa haaa

Mwenyekiti? Ok, kama ni muhimu tupendekeze jina.

Katibu . . . Yes, tunaweza kuchagua wa kufanya majumuisho . . . Pendekeza jina tafadhalli . . .
 
Nimeipenda, ila mkutano umekuwa kama vile wa dharura; kwa nini ajenda zisiwekwe walau siku moja ikapita then mkutano ukafuatia? Nasema hivyo ili watu wajiandae kuepuka hali ya kutoa kauli zisizo na uthibitisho, na ni kawaida hata maofisini watu huwa wanaenda kikaoni wakiwa walau na idea ya ajenda, otherwise kiwe kikao cha dharura!
 
Ndugu MC Superman nasubiri nafasi yangu ya kutoa hoja zangu Ndibalema hajamaliza tu?
 
nITAWeka jina langu nikiona wale wa jinsia tofauti!
 
Hoja yako ni ya msingi sana Kiongozi.

Ili kutenda haki, kilele cha mkutano huu nashauri kiwe jumapili saa 6 usiku na baada ya hapo tutafanya majumuisho. Madhumuni yakiwa kila moja apate nafasi ya kuchangia.

Agenda:

"Agenda Kuu 2010" kutoka JF
 
Ndugu MC Superman nasubiri nafasi yangu ya kutoa hoja zangu Ndibalema hajamaliza tu?

Haaa haaaa, nimeipenda sana Kijana . . . tunahitaji watu wenye subira kama wewe . . .

Zamu yako sasa tafadhali . . .
 
nITAWeka jina langu nikiona wale wa jinsia tofauti!

Oooh Mchungaji, unaonekana unasimamia sana haki za jinsia ile . . . . Ngoja niwafuate kwenye jukwaa fulani niwaalike . . .
 
Oooh Mchungaji, unaonekana unasimamia sana haki za jinsia ile . . . . Ngoja niwafuate kwenye jukwaa fulani niwaalike . . .

Kuna somo la gender balance and equality in Christianity! Ni muhimu wawepo
 
Back
Top Bottom