Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Kura hazijawahi kuchagua Rais Tanzania.

Only Zwazwa mdondo people will trust hilo Genge.

Haya "Keki ya Taifa" Ina Wenyewe.

Wale wenye vitambulisho vya "Machinga" Endeleeni Kuchapa Kazi.

Msisahau Kukusanya Familia Zenu Na Kwenda Kuwaimbia "Wenye Nchi" Ule Wimbo Wa "Baaba Baaba Baba Huyoooo ..... Huku Mkiruka Ruka Juu.
 
Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
 
Sasa apimwe kama atafaa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano 2025.

Walioenda shule wanasema like father like son..usishangae na yeye akafuata nyayo za kubahatika kuongoza visiwani na bara.
 
Utawala wa ukoo ,familia zinakula keki ya taifa . Hongereni 2025 tutawawekea mke wa anayetoka madarakani
 

Muendelezo wa U Sultani Visiwani
 
Naona kama Nahodha hajafurahia, labda macho yangu yana makengeza
 
Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika

Tatizo ni kwamba, wingi wa kura hauamui nani anakuwa rais, wanachosubiria ni kumtangaza tu.

Kwa ufupi ni kama shughuli imeishakamilika. Lakini wazanzibar hili linawauma mno, ni vile mabavu yanatumika kwa maslahi ya watu wachache.
 
Kwani chadema hamshindi huu uchaguzi?
 
UPEMBA NA UUNGUJA ndio uliomnyima PRO. MAKAME
Uzoefu wa wa huko nyuma!
Makame hazidi miaka 10 serikalini,hana uzoefu na chama
Nahodha alikuwa chief minister miaka 10 mfululizo,kashika nafasi za chama.n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…