Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

hivi Zanzibar babako akiwa Rais uwezekano wa watoto wa Rais kuwa marais ni asilimia 98 kumbe?
 
.....wazanzibari tunaenda na Mwinyi.

Imeisha iyooo.
 
Kwahiyo chaguo la Yesu...Mbarawa hata tatu Bora hakuwepo?
 
S
Kwahiyo chaguo la Yesu...Mbarawa hata tatu Bora hakuwepo?

Sasa km Nahodha na credibility Yale yote anaambulia kura 16.

Sembuse Prof.Mbarawa?!!!

Waulizeni watu wa maskani ya kisonge watawajuza wasiyoyajua wale UFIPANI....
 
S

Sasa km Nahodha na credibility Yale yote anaambulia kura 16....


Sembuse Prof.Mbarawa?!!!

Waulizeni watu wa maskani ya kisonge watawajuza wasiyoyajua wale UFIPANI....
Umejibu nini mzee wa pua tanuli? [emoji3]
 
johnthebaptist,

Mnataka kumpa kiti Hussein mwinyi bora hata mgempa Jecha mnalisishana vyeo ili muibe Mali za Watz.
Unaangaliwa uwezo wa mtu namna anavyoweza kukabiliana na changamoto zilizopo na kuandaa mazingira ya kuzikabili changamoto zijazo bila kutumia nguvu kubwa, mihemuko, na kubabaika.

Tuko kwenye mapambano ya kiuchumi. Tukiteleza hapa itatupa shida sana huko mbele ndiyo maana aangaliwi mtu kabila, rangi, dini, ama familia yake anayotoka na mambo mengine kama hayo ili apewe dhamana ya uwakilishi, la hasha. Ni uwezo wake tu ndiyo una mbeba. Na yote haya yanafanyika katika mazingira ya kidemokrasia.
 
Sasa Mzee Alli Hassan Mwinyi atakufa kwa Amani. Hamalizi tena mwaka.
 
S

Suala si babake.....
Suala ni LEGITIMACY aliyonayo....



Twende na Dr Mwinyi 2020

Imeishaa iyoooo


NDIO IMEANZA HIYO , NA ALETWE POPOBAWA TUMGEUZE YEYE MARA HII πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…