Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Zanzibar tunaenda na Maalim Seif, huyo mwinyi ni rais wa dodma.
Mpindue tena matokeo awamu hii muone
Mpindue tena matokeo awamu hii muone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliuliza swali ndio nikataka nijibiwe
Wanasema hawataki usultani lakini dynasties ndiowanakumbatia (Karume baba, Karume mtoto na sasa Mwinyi baba na Mwinyi Mtoto ex Mkuranga (wataniita mchochezi).Oh ho wamenuna CCM Zanzibar , maskani manung'uniko- oh Usultani siyo lazima mwarabu.
Zanzibar tunaenda na Maalim Seif, huyo mwinyi ni rais wa dodma.
Mpindue tena matokeo awamu hii muone
Hongera Mwinyi kwa kuwa Rais wa Zanzibar 2020.
Mwinyi akishapita hapo tyr ni Rais hakuna kizuizi kingine.
Ooo mkuu,naam NI sawa...
unampongeza Mwinyi kuwa rais kwani uchafuzi - uchaguzi umeshafanyika? vp wewe? kuna rangi ya zambarau inawafuasi asilimia 75% kule zenj empire kuljo rangi mbaya ya kijani .
Kuna memba mmoja alimuuliza inakuwaje wapinzani waliounga mkono juhudi wanapewa nafasi na kuwaacha sisiem Lia lia waliokipigania chama? Yeye ndo anaona challenge hiyo na huenda hatolala Leo.Ni nani aliyempa challenge?
Top wamefanya maamuzi ,ccm zanzibar grassroot wanalia na kusaga meno.Wanasema hawataki usultani lakini dynasties ndiowanakumbatia (Karume baba, Karume mtoto na sasa Mwinyi baba na Mwinyi Mtoto ex Mkuranga (wataniita mchochezi).
Kwani aliechaguliwa sio mzanzibari?Nihu
Ni huzuni na masikitiko makubwa kuwa Zanzibar inachaguliwa Rais Dodoma. Inauma sana
Kuna memba mmoja alimuuliza inakuwaje wapinzani waliounga mkono juhudi wanapewa nafasi na kuwaacha sisiem Lia lia waliokipigania chama? Yeye ndo anaona challenge hiyo na huenda hatolala Leo.
Lakini grass roots ndiyo wenye kura kama wakoserious wafanye maamuzi na maalim awahamasishe.Top wamefanya maamuzi ,ccm zanzibar grassroot wanalia na kusaga meno.