Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Zanzibar tunaenda na Maalim Seif, huyo mwinyi ni rais wa dodma.

Mpindue tena matokeo awamu hii muone
 
Mgombea Hussein Mwinyi amechaguliwa kuwa Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kupitia CCM baada ya kwa kupata kura 129 katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM uliofanyika leo

Mh. Hussein Mwinyi amewashinda Shamsi Vuai Nahodha aliyepata kura 16 na Khalid Mohamed aliyepata kura 19 ambao aliingia nao pamoja katika tatu bora ya Wagombea wote wa nafasi hiyo.

WASIFU WA Dkt. Hussein Mwinyi
1594382205702.png
CURRICULUM VITAE
Dr. Hussein Mwinyi has served as a Minister in the Tanzanian Government in different Potfolios since 2000.
He was born in Zanzibar.

He graduated with a degree in Medicine in Turkey at the University of Marmara in Istanbul and proceeded for specialization in Internal Medicine in UK from King’s College at Hammersmith Hospital in London.

Before joining Politics he worked as a medical Practitioner at Royal Sussex Hospital in Brighton UK, Muhimbili National Hospital Tanzania and Hubert Kairuki Memorial Hospital in Dar es Salaam. He also taught as a senior lecturer at Hubert Kairuki Memorial University Medical School.

DR. Mwinyi has been the Minister of Defence and National Service for ten years from 2008 to date.

He speaks fluent English, Swahili and Turkish. He is married and has four children.

Political Highlights:
• 2000 – 2005 Member of Parliament for Mkuranga District.
• 2005 – To date Member of Parliament for Kwahani constituency Zanzibar.
• 2000 – 2005 Deputy Minister of Health.
• 2005 – 2008 Minister of state Vice President’s office (Union Affairs).
• 2008 – To date Minister of Defence and National Service.

Academic Backgroun:
• Masters Degree in Internal Medicine (Member of the Royal College of Physicians – UK)
• Post graduate Diploma in Cardiology from Royal Post graduate Medical School Hammersmith Hospital (U.K).
• Doctor of Medicine (Bachelor Degree) from Marmara University, Faculty of Medicine – Istanbul (Turkey).

Commitees Membership:
• Parliamentary Committee on Social Services (2000 – 2005).
• Parliamentary Committee on Constitutional Affairs (2005 – 2008).
• Parliamentary Committee on Foreign, Defence and Security Affairs (2008 to date)

Board Membership:
• Chairman, Board of Trustees of Benjamin Mkapa HIV/AIDS Foundation.
• Chairman, African Medical Research Foundation Advisory Council (AMREF)

Associations Membership:
• Member Royal College of Physicians U.K (MRCP).
• Fellow Royal College of Physicians (FRCP).
• Member Tanzania Phsicians Asociation.

Short Courses Attended:
• Public Speaking Course June 2007 ( Washington D.C).
• Young Emerging Leaders Exchange Programme 2004 (Washington D.C USA).
• Management Course for Executives, Havard School of Government 2003 – USA.
• Computer Course – Institute of Finance Management 2001 Dar es Salaam.

PIA SOMA:
= > Breaking News: - Uchaguzi 2020: Yaliyojiri katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM. Dkt. Hussein Ally Mwinyi ateuliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM
 
Oh ho wamenuna CCM Zanzibar , maskani manung'uniko- oh Usultani siyo lazima mwarabu.
Wanasema hawataki usultani lakini dynasties ndiowanakumbatia (Karume baba, Karume mtoto na sasa Mwinyi baba na Mwinyi Mtoto ex Mkuranga (wataniita mchochezi).
 
Zanzibar tunaenda na Maalim Seif, huyo mwinyi ni rais wa dodma.

Mpindue tena matokeo awamu hii muone

Matokeo hayapinduliwagi kule....

Sultan aliyejichokea naamini atashindwa na kugombea Tena 2025 PANAPO uhai.....

Zitto Kabwe banaa yeye fursaaaa tuuuu
 
Hongera Mwinyi kwa kuwa Rais wa Zanzibar 2020.
Mwinyi akishapita hapo tyr ni Rais hakuna kizuizi kingine.

unampongeza Mwinyi kuwa rais kwani uchafuzi - uchaguzi umeshafanyika? vp wewe? kuna rangi ya zambarau inawafuasi asilimia 75% kule zenj empire kuljo rangi mbaya ya kijani .
 
unampongeza Mwinyi kuwa rais kwani uchafuzi - uchaguzi umeshafanyika? vp wewe? kuna rangi ya zambarau inawafuasi asilimia 75% kule zenj empire kuljo rangi mbaya ya kijani .

Tatizo wanafikiri JWTZ na vyombo vya dola litapindua tena matokeo au kulazimisha kufuta uchaguzi na watu watavumilia waendelee kudanganywa
 
Ccm inawenyewe viva Magufuli, we hope for the best all the time, you have been representing our country in all issues that need man with integrity! you have my vote for 2020
 
Wanasema hawataki usultani lakini dynasties ndiowanakumbatia (Karume baba, Karume mtoto na sasa Mwinyi baba na Mwinyi Mtoto ex Mkuranga (wataniita mchochezi).
Top wamefanya maamuzi ,ccm zanzibar grassroot wanalia na kusaga meno.
 
Kuna memba mmoja alimuuliza inakuwaje wapinzani waliounga mkono juhudi wanapewa nafasi na kuwaacha sisiem Lia lia waliokipigania chama? Yeye ndo anaona challenge hiyo na huenda hatolala Leo.

Yule jamaa nadhani atatolewa kwenye nafasi zote alizonazo kwenye chama.
 
Back
Top Bottom