Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Chongolo anaunguruma Dar es Salaam kujibu hoja za Bandari

Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Chongolo anaunguruma Dar es Salaam kujibu hoja za Bandari

15 August 2023
Mbeya, Tanzania

HATA MIMI NINA HOFU JUU YA UWEKEZAJI HUU

View: https://m.youtube.com/watch?v=eRTNGWen7k0



Mzee Nicodem David Mwabigija mkulima na mkazi wa Mbeya aliyefuatilia ubinafsishaji kupitia uwekezaji kwa miaka 30 uliobuniwa na serikali za awamu kadhaa za CCM tangu mabenki, migodi n.k na kubaini mpaka sasa Tanzania haijafaidika, sasa uwekezaji ana wasiwasi pia na DP World anasema Mzee huyu aliyeona mengi ...
 
Wazalendo ndani ya chama bado hawakubali
 
Back
Top Bottom