Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Ukisema Tanzania ni taifa la wajinga na wewe umo.Kwaiyo katika watu milioni karibia 60 yeye ndio wa maana katika pesa na mipango??
Tanzania inahitaji kuendeshwa kimfumo sio kutumia fikra na ushawishi wa mtu.
Tanzania siku zote litabaki kuwa taifa la wajinga kwa kutegemea hayo
Tofautisha majukumu ya viongozi ambao ni wanasiasa serikalini na watumishi wa umma wa ndani ya serikalini (makatibu wa kuu kwenda chini). Kulijua hili utaelewa nani anajukumu ya kuujenga na kuulinda mfumo serikalini.
Sioni tatizo lolote kwa Dkt. Kimeo akiwa waziri kwenye serikali. Ni Mtanzania, ni msomi na ana uwezo wa kuongoza.