figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hawa ndo walioshinda kwa 98% au kuna wengine?WAHEHawaSHIMIWA WABUNGE WATEULE
SALAAM
OFISI YA BUNGE INAPENDA KUWAARIFU KUWA KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE LA 13
UTAKAO ANZA TAREHE 11/ 11/2025 SIKU YA JUMANNE AMBAO NI MAHUSUSI KWA AJILI YA WABUNGE WATEULE KULA KIAPO CHA UAMINIFU
WAGENI HAWATARUHUSIWA KABISA KUINGIA KATIKA UKUMBI NA VIUNGA VYA BUNGE
HIVYO TUSIFANYE MAANDALIZI YEYOTE YA MIALIKO YA WAGENI WETU WAKATI HUU WA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE
NAWASILISHA KWENU KWA UTEKELEZAJI
I second you by promising you that iam the one to stand aside you liberating this our ancestors countryI HAVE TO SACRIFICE MY SELF FOR THIS SHIT!
Naona kina shuka tu leo huna haja ya kuangalia dictionaryNaona Mwachiluwi unalike komenti yangu ,Mike nimelewa kaka toka kunakucha hivyo usishangae leo kuandika kingereza uwa ni Mambo yangu haya nikiwa na mwenzangu kichwani ,hizo ahadi niulize nikiwa sawa
Leo sihangaiki kukopi komenti za mzee wangu Kiranga na mdogo wangu Intelligent businessmanNaona kina shuka tu leo huna haja ya kuangalia dictionary
Kama una namba zao waambie wataalam wa mipango ya vita wanaforce people zitokee hapo.Waheshimiwa wabunge wateule
Salaam
Ofisi ya bunge inapenda kuwaarifu kuwa katika mkutano wa kwanza wa bunge la 13
Utakao anza tarehe 11/ 11/2025 siku ya jumanne ambao ni mahususi kwa ajili ya wabunge wateule kula kiapo cha uaminifu
Wageni hawataruhusiwa kabisa kuingia katika ukumbi na viunga vya bunge
Hivyo tusifanye maandalizi yeyote ya mialiko ya wageni wetu wakati huu wa mkutano wa kwanza wa bunge
Nawasilisha kwenu kwa utekelezaji
Hii nimekopi na kupestiš»
Wee tiririka tu mzeeLeo sihangaiki kukopi komenti za mzee wangu Kiranga na mdogo wangu Intelligent businessman
Ndio hao haoo, hapo wanataka ku justify kumbe hata ile rais haramu kwenda kuapishiwa kule mafichoni ilikuwa sawa tu...kwamba ni sehemu ya mabadiliko kdg mapya chama cha mapinduzi kimeamua kuja nayo hahahhaaaHawa ndo walioshinda kwa 98% au kuna wengine?
Wapumbavu sana hawa.Ndio hao haoo, hapo wanataka ku justify kumbe hata ile rais haramu kwenda kuapishiwa kule mafichoni ilikuwa sawa tu...kwamba ni sehemu ya mabadiliko kdg mapya chama cha mapinduzi kimeamua kuja nayo hahahhaaa
TUnaongozwa na wajinga kweli kweli mkuu
Keyboard warriorI HAVE TO SACRIFICE MY SELF FOR THIS SHIT!
Wale wahalifu kutoka nje ya nchi waliofanya bado wapo nchini.Si wanasema wameshinda uchaguzi kihalali, wanaogopa nini tena?