Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty Zanzibar tarehe 29 Mei, 2024.