Sijakaelewa umesema Arusha ni nchi wa wajanja halafu hapo hapo tena ni wajinga wajingaKama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli,Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.
Nyie nyumbu mna hasira sana! Kila mtu jana aliona watu walivyokuwa wengi hapo Arusha!Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.
CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la Kilombero.
Makonda hakuwa na jambo la maana kuongea zaidi kutafuta kiki za kupanda Bodaboda.
Namshauri Makonda apeleke upuuzi wake Koromoje huku Arusha watu wanajua wanafanya nini, wanataka nini...