Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania!
Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma.
Labda tuwaulize tu wale Team Dodoma. Mkutano ungefanyika Dodoma Wageni wangelala wapi? Dodoma Hotel? Domiya? Au pale Rafiki hotel?🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo Rais Traole au Rais Tinubu angelala Rafiki Hotel?🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo marais waoge maji yenu yenye magadi hayo?🤣🤣🤣🤣
Okey tuachane na Hotel za kulala. Tuseme wageni wanataka kustarehe kwa hiyo ndo waende pale Talatala? Au Rainbow au Royal Hotel?🤣🤣🤣🤣
Kwa Dar tuseme mgeni kachoka tu kukaa kwenye kikao anataka kutembea kidogo. Akitembea mita 100 tu anakutana na bahari , akitaka pub za ukweli kwenda kustarehe akiingia masaki au pale Posta tu ziko za kumwaga, Totoz za ukweli! Hapo hatujaweka ma hoteli ya nyota 4 na 5 ambayo yapo ya kumwaga.
Watanzania tupate Exposure kwa kweli tuone Dunia ikoje. Dodoma ndiyo inakua vizuri ila itachukua miaka si chini ya 20 hadi 30 kwa Dodoma kufikia kuwa Standard Jiji kuweza ku host mikutano mikubwa ya kimataifa na ku host viongozi wa kimataifa.