Mkutano wa Nishati ungefanyika Dodoma! Wageni wangelala na kustarehe wapi?

Dodoma ina maajabu gani?

Alafu unazungumzia Dar ipi haina maajabu?

Dar ya kutoka Posta kuelekea Mbagala au Kimara AU Dar ya kutoka Mjini kupita Tanzanite Bridge au Salander Bridge hadi Tegeta na Mbweni?
🀣 🀣 🀣
 
Dodoma Kwa Watani Zangu Wagogo, Warangi,
Mmetajwa Kwakuwa Mnatakiwa 30 Huko Ndiyo Mtaifikia Dar Es Salaam
*Mzizima Jiji Salama,
 
Comments Zinawapa Tabu Ndugu Zangu Wa Chef Asili, Mwambao, Sinza Mpya, Kwa Bubu Kuku
 
Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania!

Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma.

Labda tuwaulize tu wale Team Dodoma. Mkutano ungefanyika Dodoma Wageni wangelala wapi? Dodoma Hotel? Domiya? Au pale Rafiki hotel?🀣🀣🀣🀣

Kwa hiyo Rais Traole au Rais Tinubu angelala Rafiki Hotel?🀣🀣🀣🀣

Kwa hiyo marais waoge maji yenu yenye magadi hayo?🀣🀣🀣🀣

Okey tuachane na Hotel za kulala. Tuseme wageni wanataka kustarehe kwa hiyo ndo waende pale Talatala? Au Rainbow au Royal Hotel?🀣🀣🀣🀣

Kwa Dar tuseme mgeni kachoka tu kukaa kwenye kikao anataka kutembea kidogo. Akitembea mita 100 tu anakutana na bahari , akitaka pub za ukweli kwenda kustarehe akiingia masaki au pale Posta tu ziko za kumwaga, Totoz za ukweli! Hapo hatujaweka ma hoteli ya nyota 4 na 5 ambayo yapo ya kumwaga.

Watanzania tupate Exposure kwa kweli tuone Dunia ikoje. Dodoma ndiyo inakua vizuri ila itachukua miaka si chini ya 20 hadi 30 kwa Dodoma kufikia kuwa Standard Jiji kuweza ku host mikutano mikubwa ya kimataifa na ku host viongozi wa kimataifa.
Hapa Kuna ukweli
 
Acha zarau aisse ,mbona wangeweza kwenda swaswa Kuna sehem inaitwa bench corner ,Kuna beach moja matata sana pale,sehem za kujrusha zipo wakitembelea pale chako ni chako Kuna watoto kibao ,lushoto Kuna kuku wa kuchoma ,kulia kidog unakutana na Pork point unagonga kitimoto moja saaafi huku ukihudumiwa na watot halis wa kiafrika ma miss Bantu
 
Oya kule machakani upeleke mkutano huu? Emu punguzeni basi mambo hayo halafu wapunguze punguze zile squatters yaan mpangilio wa majengo ya nyumba na makazi haueleweki wamegeuziana vyoo huyu anakula pale anakunya km uswahilini nyumba zimebanana ndio waende wakaangalie hayo kule?

Dodoma palivyokua panapigwa promo nilijua pa kishua kumbe dah sio poa nimeenda mpaka pale mji wa magu eti umezungushiwa mabati wtf?

Halafu kuna machaka machaka oya yale machaka kwanini hawayafyeki kujenga mandhari nzuri ya mji
... MACHAKA NDO MANDHARI YENYEWE! UNATAKA JANGWA LIBAKI JANGWA?
:AweeWoo: :AweeWoo::AweeWoo:πŸ˜…
 
Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania!

Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma.

Labda tuwaulize tu wale Team Dodoma. Mkutano ungefanyika Dodoma Wageni wangelala wapi? Dodoma Hotel? Domiya? Au pale Rafiki hotel?🀣🀣🀣🀣

Kwa hiyo Rais Traole au Rais Tinubu angelala Rafiki Hotel?🀣🀣🀣🀣

Kwa hiyo marais waoge maji yenu yenye magadi hayo?🀣🀣🀣🀣

Okey tuachane na Hotel za kulala. Tuseme wageni wanataka kustarehe kwa hiyo ndo waende pale Talatala? Au Rainbow au Royal Hotel?🀣🀣🀣🀣

Kwa Dar tuseme mgeni kachoka tu kukaa kwenye kikao anataka kutembea kidogo. Akitembea mita 100 tu anakutana na bahari , akitaka pub za ukweli kwenda kustarehe akiingia masaki au pale Posta tu ziko za kumwaga, Totoz za ukweli! Hapo hatujaweka ma hoteli ya nyota 4 na 5 ambayo yapo ya kumwaga.

Watanzania tupate Exposure kwa kweli tuone Dunia ikoje. Dodoma ndiyo inakua vizuri ila itachukua miaka si chini ya 20 hadi 30 kwa Dodoma kufikia kuwa Standard Jiji kuweza ku host mikutano mikubwa ya kimataifa na ku host viongozi wa kimataifa.
Wangeenda Mnadani kula nyama choma!😑😑😑😑
 
Back
Top Bottom