Mkutano wa Nishati ungefanyika Dodoma! Wageni wangelala na kustarehe wapi?

Squatters zilizoko Tandale, Keko, msasani, Vingunguti, Kiwalani, Mbagala ziko mkoa wa Mbeya au Dsm.
Dar kubwa alafu kuna Upanga, Posta, Masaki, Mikocheni, Kijitonyama, Mwenge, Sinza , Bahari Beach, Mbeni Beach na Ununio.

Kote huko ni Dar
 
Hata Dodoma ni kubwa pia
Kubwa kivipi?

Vile vijiji vya Chamwino au kule mnadani ambapo papo kama jalalani hata vyoo vya maana havipo?

Ukipeleka ugeni huu Dodoma unaweza ambiwa unataka kuwapa kipindupindu kama wakifika pale mnadani.
 
Yule mwamba aliamua kuijenga mkarudisha mpira kwa kipa. Dsm
 
Squatters zilizoko Tandale, Keko, msasani, Vingunguti, Kiwalani, Mbagala ziko mkoa wa Mbeya au Dsm.
Watu wamezoea makelele na hawaoni kama tandale , tandika , mbagala, keko, mburahati, BUGURUNI sio uswazi
 
Dodoma Bado haijakamilika kimiundombinu so ipe mda utafurahi zaidi kufikia 2030 Kila kitu kitakuwa tayari.
 
Dodoma acha Serikali waijenge tu.

Sekta binafsi kuweka uwekezaji kule kwa sasa ni hasara.
Hasara gani? Mbona wanawekeza? Dar yenyewe ilianza kujengwa na Serikali na Bado inajengwa.

Mahoteli yote makubwa hapo Dar yapo kwenye majengo ya Serikali private wamepanga.

Arusha na Zanzibar pekee ndiko private sectors Wameweka pesa za kujenga Hoteli zao za 5Star,4Star nk ila hapo Dar wamepanga.
 
Wenye madem zenu huko dar leo lazima muwe nao benet lah sivyo mtakula makombo🀣🀣🀣🀣🀣
 
Dodoma Bado haijakamilika kimiundombinu so ipe mda utafurahi zaidi kufikia 2030 Kila kitu kitakuwa tayari.
Hapana let's say 2050. Si mchezo mji kufika haraka hapa ilipofika Dar.

Hakuna cha kuifanya Dodoma ivutie kwa haraka kiasi hicho. Kwa kifupi Dodoma haina activity ya kumfanya mgeni a enjoy tofauti na Dar au Arusha.
 
Sio swala la kufika kama Dar,kwanza Dar ni hovyo.

Dar ina mahoteli ya VIP kama Zanzibar na Arusha?
 
Wamekuja kwenye mkutano au wamekuja kustarehe.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…