Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #41
Shukran mkuu Pasco kwa jibu.
Swali lengine: Je. does Zanzibar want to increase its minority stake to equal partnership?
Asante, niko online nikifuatilia updates za kutoka uko Mkuu, thanks alot for thisSipo, kwenye mada suala hilo lipo ila halijafikiwa.
Wachangiaji wamemvurumishia madongo Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, kuwa sheria ya ukaazi ni utata mtupu, kumbe ilipopitishwa bazani, wawakilishi wote wa CUF, walitoka nje!. Kumbe sheria ya ukaazi inawanyima haki Wanzanzibari wote wenye uraia halali wa Zanzibar, wakiwemo Wangazija kumbe sasa sio Wanzibari tena!.
Kumbe Wazanzibari wote wanaoishi nje ya Zanzibar wakiwemo wanaioshi bara, wamepoteza haki zao zote za kiraia eti kisa hajaishi Zanzibar miezi 36 mfululizo!
Wana Cuf, wanataka kuwasha moto humu ndani, madoderetor wa REDET, wanatia maji ili kuepuka kilichotokea kongamano la Mwalimu Nyerere.
Mimi sasa naanza kukasirika, nadhani bora nijiondokee zangu!.
Nimejiondokea zangu, mada zote 11 ninazo, nitajisomea taratibu tuu ila nitaikosa michango ya wachangiaji na mijadala.Wewe ushaambiwa kuna mambo mazuri,,uvute subira,,Tena unaondoka unakwenda wapi!?? SUBIR TU
Lakini hata CUF nao si wajinga kiasi hicho, hasa ukichukulia uzoefu wao kwa siasa za Zanzibarachana na ccm ndugu!hawa jamaa ''wamejipanga''
Ni vyema hayo mambo ya jikoni na chumbani wakaachiwa weyewe kuyazungumza na kuyatafutia suluhu. Kimbele mbele cha Watanzania (Wasio Wazanzibari) katika hayo ya jikoni ndiyo kinatuletea usumbufu huu tunaoupata.Hebu waachieni wenyewe.Its the other way round, Watanzania ndio sio Wanzanzibari, lakini Wanzazibari ni Watanzania. Kwa vile Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT, inayojiwala kwa mambo yake ya ndani, then wote tunahaki ya kuchangia kuhusu 'Zanzibar Tuitakayo'.
Kabla ya Muungano, kulikuwa na Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika died and Tanzania was born, Zanzibar did not die, it only surendered its outomy to Tanzania and maintained its minority stake kwenye mambo yake ya jikoni na chumbani, sebuleni ni Tanzania.
Tujadili kwa uhuru tuu.
Ndugu yangu .... kuvuja, nafuu kwa mchukuzi, naungana nawe kwa asilimia 100%, mambo ya jikoni na chumbani, waachiwe wenyewe, tusiwaingilie kabisa, tatizo hapo mwanzo, Zanzibar ilikuwa ni nyumba ya chumba kimoja, jikoni ndio hapo hapo, chumbani, hapo hapo na sebuleni hapo hapo, ukipakua chakula mbele ya mgeni na watoto wapo, huweza tenga, hiki cha wageni (gesi na mafuta) na hiki cha wote. Mgeni (bara) kala kanogewa mpaka anataka na cha wote.Ni vyema hayo mambo ya jikoni na chumbani wakaachiwa weyewe kuyazungumza na kuyatafutia suluhu. Kimbele mbele cha Watanzania (Wasio Wazanzibari) katika hayo ya jikoni ndiyo kinatuletea usumbufu huu tunaoupata.Hebu waachieni wenyewe.
naomba nikusifu kwa Falsafa zako. Chakula cha Familia kitabaki katika sahani ya familia. Na Mgeni ni Mgeni atasubiri apakuliwe cha wageni kwa heshima na taadhima. Hayo ya Karume na Seif (ambayo yamewashtua hao wageni) ni bashrafu tuu.Ndugu yangu .... kuvuja, nafuu kwa mchukuzi, naungana nawe kwa asilimia 100%, mambo ya jikoni na chumbani, waachiwe wenyewe, tusiwaingilie kabisa, tatizo hapo mwanzo, Zanzibar ilikuwa ni nyumba ya chumba kimoja, jikoni ndio hapo hapo, chumbani, hapo hapo na sebuleni hapo hapo, ukipakua chakula mbele ya mgeni na watoto wapo, huweza tenga, hiki cha wageni (gesi na mafuta) na hiki cha wote. Mgeni (bara) kala kanogewa mpaka anataka na cha wote.
Sasa nyumba ya Zanzibar imekuwa, sasa kuna jiko linajitegemea na sebule sio chumbani. Kaja tena yule yule mgeni bara, wewe chakula wapikia jikoni, haoni, kwa vile alifaidi, unataka kuamua leo usipakue cha wageni (gesi na mafuta) bali upakue cha wote ili chawageni ukakilie chumbani kwa kujificha, mgeni huyo kama ni mlafi, ujue hapo haondoki mpaka ale kile kinono cha wageni,
Gesi na mafuta hayakuwemo kwenye mambo ya muungano, mgeni bara, kaja mmempakulia bila hiana yoyote, hamkulalakamika hapo mwanzo, mgeni kanogewa, ndio sasa mwataka mwambia mgeni kuanzia sasa kile chakula si cha wageni tena, bali cha wote?!. Its too little too late, madhali mgeni kesha onja, mwache tuu ale na eendelee kula, tena si mafuta tuu, hadi samaki wa bahari kuu ni wa muungano!, tutakuja hadi maji ya bahari ni ya muungano na mwisho kabisa Zanzibar-Mkoa wa muungano!.
mwezi Aprili mwaka 2009, Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma ilitoa taarifa yake Bungeni. Moja ya suala ililozungumzia ni suala la utafutaji mafuta zanzibar na walitoa ushauri ufuatao:
"Kumekuwa na maneno mengi kuhusiana na utafutaji wa mafuta eneo la Tanzania Zanzibar. Mjadala ndani ya Kamati pia uligawa wajumbe kutokana na wametoka wapi katika pande mbili za Muungano. Kuna tatizo la msingi kabisa kuwa Taifa limepoteza uwekezaji mkubwa katika utafutaji wa mafuta katika upande za Zanzibar kufuatia mgogoro unaoendelea kuhusiana na suala la mafuta na gesi. Kamati inaamini kuwa Mafuta na Gesi ni suala la Muungano lililo katika Orodha ya Masuala ya 22 ya Muungano kama yalivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ijapokuwa uhalali wa kuwekwa kwake katika Masuala ya Muungano bado ni mjadala mkubwa sana. Tatizo kubwa lililopo ni kwamba Shirika la TPDC sio shirika la Muungano; Shirika lisilo la Muungano linashughulikia suala la Muungano, suala nyeti kama mafuta na gesi. Kamati inadhani kuwa imefikia wakati mwafaka kwa Shirika la TPDC kuvunjwa na kuundwa Mamlaka ya Mafuta na Gesi Tanzania ambayo itakuwa ya Muungano. Mamlaka hii itakuwa na jukumu la kutoa vibali na kusimamia mikataba ya kugawana mapato ya mafuta (PSAs). Kila upande wa Muungano utaanzisha Kampuni yake ya Mafuta na Gesi kwa lengo la kushiriki katika uwekezaji na biashara. Ushauri huu kama ukitekelezwa utaondoa pia utata wa mgongano wa maslahi uliopo TDPC leo katika suala la kusimamia PSAs".
nimetoa hili katika hansard ya tarehe 29 aprili 2009. Zitto angerudi humu JF kutueleza ushauri huu murua ulifikia wapi katika utekelezaji maana ungekata mzizi wa fitina katika suala la mafuta Zanzibar. Nakubaliana na Kamati kuwa hakuna haja ya kulitoa katika mambo ya muungano. muhimu ni kuhakikisha kuwa Zanzibar inafaidika na mafuta kama yatapatikana huko kwa kuwa na kampuni yao inayomilikiwa na serikali ya zanzibar na kampuni hiyo itakuwa na hisa katika kampuni za mafuta. Bara pia watakuwa na kampuni yao ambayo itawekeza katika makampuni ya mafuta na gesi. Mamlaka ya Mafuta na Gesi watakuwa na jukumu la kusimamia sekta, kusimamia mfuko wa mafuta na kutoa leseni za kutafuta mafuta.
Asante Mdau, mwanzo nilitumia PC ya Windows NT 98' nimerekebisha.mkuu Pasco,huwezi kuipanga vizuri hii?? inasumbua kidogo kuisoma,I mean concetration....