I hope they didn't use any money for this meeting!
Mzee Mwanakijiji, you must be jocking!. Demokrasia ni expensive exericise!.
Kama ulifuatilia ule mkutano wa kwanza pale Nkurumah, nilisema baada ya mkutano, kila alijisajili, alikunjiwa little brown envelope, kama kawaida yetu wabongo, nami si nikajisogeza ili nikunje, jamaa wakaniambia sorry jina lako halipo.
Niliposoma magazetini this time ni Zanzibar, nikaamua kabla sijaenda ngoja nifanye kajiutafiti ka bahasha ni nene kiasi gani, ndipo wakanijibu, wanawalipia usafiri, chakula na malazi ila wale tuu waliowaalika, akinasiye wanachi tuliojialika, tukaambiwa tumekaribishwa tuu ila tujitegemee.
Alhamdidulahi, staftahi tulipata sote bure pale Bwawani, ila lunch, sio siri nilijituliza nikipiga miayo huku nipost JF, waalikwa wakiitwa chumba cha pili, foleni ndefu ya the little brown envelope, tena kwa macho yangu, kibahasha cha Zanzibar kilikuwa kinene, maana kimetunatuna.
Yote tisa, usiwe na wasiwasi, sio fedha za walipakodi wetu, ni fedha za Wafadhili, hivyo ni za walipakodi wa Ulaya, na sio USAID maana ningeihesabu na kodi yako, ni watu baki kabisa!.