Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali.
Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali.
Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila watakaloambiwa?
Kazi inataka iwepo motisha. Inahitajika watu wanaofanya makubwa kuisaidia nchi, nao pia watambuliwe.
Lakini pia raia anatakiwa kuyaweka maslahi ya taifa mbele badala ya kujifikiria yeye mwenyewe.