Mkutano wa TUCTA na Serikali kuhusu sintofahamu ya nyongeza ya mishahara utatujuza kama Rais Samia ni dikteta au la

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali.

Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali.

Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila watakaloambiwa?

Kazi inataka iwepo motisha. Inahitajika watu wanaofanya makubwa kuisaidia nchi, nao pia watambuliwe.

Lakini pia raia anatakiwa kuyaweka maslahi ya taifa mbele badala ya kujifikiria yeye mwenyewe.
 
Raia wafe njaa wakiwastawisha viongozi wa serikali badala ya taifa
 
Watu wasipende makuu. Umemsikia Museveni amesema juzi kwamba yeye anapenda kula ugali.( I do not want to accuse this August man of speaking an untruth, lakini wapishi wake Museveni wana rival wapishi wa Sheraton Hotel).
Lakini .. muhimu ni kwamba amautaja ugali,ambao watu wengi wanausahau,and thereby wanaweka tatizo mahali ambapo hakuna tatizo.
Acha hao Tucta wajitayarishe kubishana. Huku mi naona very interesting preparations.
 
Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali.

Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali.

Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila watakaloambiwa?

Kazi inataka iwepo motisha. Inahitajika watu wanaofanya makubwa kuisaidia nchi, nao pia watambuliwe.

Lakini pia raia anatakiwa kuyaweka maslahi ya taifa mbele badala ya kujifikiria yeye mwenyewe.
Hiyo TUCTA ni kikundi cha serikali , hakuna jipya
 
Maisha/Vitu vilipanda baada ya kusikia 23%, tukazowea miez yote ile 2 tukiwa na matumaini kufudia hayo makali July,, lahaullah kumbe changa. Maumivu plus
 
Kama Hujui Hakuna Lolote Watakaloongea
Hata Kukusanyika Tu Itakuwa Kazi
 
Govt 3-P/servants 0

1mn Nchemba
78mn Mwigulu
94+ 1 Mama
, , .................................
Assist TUCTA
 
Wameelemewa na madeni hapo inatafutwa njia ya kuyapunguza.
 
Back
Top Bottom