Mkutano wa Tundu Lissu wafana Singida Magharibi

Mkutano wa Tundu Lissu wafana Singida Magharibi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana

Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro

Screenshot_2024-06-11-23-48-49-1.png
Screenshot_2024-06-11-23-48-43-1.png
Screenshot_2024-06-11-23-50-03-1.png

Naye John Pambalu ameitaka serikali kumkamata na kumshitaki aliyekuwa RC wa Singida kwa tuhuma za ubakaji .
 
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Akazie sana somo hili; kwa sababu uchaguzi utakaofuata 2025 unategemea sana matokeo ya huu wa serikali za mitaa.

Mimi matumaini yangu ni kwamba CHADEMA wapo mbioni kuianza hii kazi ngumu haraka iwezekanavyo. Hii siyo kazi ya mtu mmoja au wachache. Ni kazi ya wanachama wote nchi nzima.
 
Hajagusia suala lake la kushambuliwa na wasiojulikana?maana ndio kitu anaongea daily
 
Akazie sana somo hili; kwa sababu uchaguzi utakaofuata 2025 unategemea sana matokeo ya huu wa serikali za mitaa.

Mimi matumaini yangu ni kwamba CHADEMA wapo mbioni kuianza hii kazi ngumu haraka iwezekanavyo. Hii siyo kazi ya mtu mmoja au wachache. Ni kazi ya wanachama wote nchi nzima.
Mbowe na Genge lake wanasubiri tu Ruzuku isome kwenye akaunti!! Habari ya uchaguzi siyo issue kwao.

Mbowe ni janga
 
Mbowe na Genge lake wanasubiri tu Ruzuku isome kwenye akaunti!! Habari ya uchaguzi siyo issue kwao.

Mbowe ni janga
Unateseka ukiwa wapi ndugu tatizo wengine mnazani hawaijui ccm au wangeamua kubaki ccm wangekosa nafasi za juu kama wewe kaa ni watu wenye huruma na rais wa hali ya chini wewe na wote mliopo ccm mnajipenda wenyewe na kupenda matumbo yetu wengine watenda mahofu au wenye vyeti fake ukiwa mchafu huwezi ikosoa serikali ukiwa unanjaa hauwezi ikosoa serikali hivyo wewe bila kumsema mbowe bando au wala hutapata chakula cha siku niajabu na umasikini wa fikira
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Na CHADEMA ina hazina kubwa sana za mamluki na vibaraka wa mabeberu, mbaya zaidi, na vyama vya siasa vya mrengo wa kulia;Far right extremist wa Europe. Kama haitoshi, WATUKANAJI.

Karibu.
 
Back
Top Bottom