Mkutano wa Tundu Lissu wafana Singida Magharibi

Mkutano wa Tundu Lissu wafana Singida Magharibi

Akazie sana somo hili; kwa sababu uchaguzi utakaofuata 2025 unategemea sana matokeo ya huu wa serikali za mitaa.

Mimi matumaini yangu ni kwamba CHADEMA wapo mbioni kuianza hii kazi ngumu haraka iwezekanavyo. Hii siyo kazi ya mtu mmoja au wachache. Ni kazi ya wanachama wote nchi nzima.
Hakika
 
Hajagusia suala lake la kushambuliwa na wasiojulikana?maana ndio kitu anaongea daily
Hapa umefikiria nini hadi ukasema hivyo? Kwamba hakushambuliwa au anasema uongo. Vp hakuna mengine anayoyasema yanayohusu maendeleo ya wananchi?
 
Hapa umefikiria nini hadi ukasema hivyo? Kwamba hakushambuliwa au anasema uongo. Vp hakuna mengine anayoyasema yanayohusu maendeleo ya wananchi?
Unaelimisha mawe
 
Awamu hii kuna viongozi wengi wapenda ulawiti na uzinzi...why?
 
Back
Top Bottom