Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Akazie sana somo hili; kwa sababu uchaguzi utakaofuata 2025 unategemea sana matokeo ya huu wa serikali za mitaa.Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Kikao cha familia!Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Naye John Pambalu ameitaka serikali kumkamata na kumshitaki aliyekuwa RC wa Singida kwa tuhuma za ubakaji .
Mbowe na Genge lake wanasubiri tu Ruzuku isome kwenye akaunti!! Habari ya uchaguzi siyo issue kwao.Akazie sana somo hili; kwa sababu uchaguzi utakaofuata 2025 unategemea sana matokeo ya huu wa serikali za mitaa.
Mimi matumaini yangu ni kwamba CHADEMA wapo mbioni kuianza hii kazi ngumu haraka iwezekanavyo. Hii siyo kazi ya mtu mmoja au wachache. Ni kazi ya wanachama wote nchi nzima.
Serikali imejaa wapenda ngono kinyume cha maumbile, nani atathubutu kumshitaki mwenzaoMkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Naye John Pambalu ameitaka serikali kumkamata na kumshitaki aliyekuwa RC wa Singida kwa tuhuma za ubakaji .
kati ya lisu na wewe nani kapoteza mwelekeoNi wa kumhurumia kapoteza mwelekeo
Unateseka ukiwa wapi ndugu tatizo wengine mnazani hawaijui ccm au wangeamua kubaki ccm wangekosa nafasi za juu kama wewe kaa ni watu wenye huruma na rais wa hali ya chini wewe na wote mliopo ccm mnajipenda wenyewe na kupenda matumbo yetu wengine watenda mahofu au wenye vyeti fake ukiwa mchafu huwezi ikosoa serikali ukiwa unanjaa hauwezi ikosoa serikali hivyo wewe bila kumsema mbowe bando au wala hutapata chakula cha siku niajabu na umasikini wa fikiraMbowe na Genge lake wanasubiri tu Ruzuku isome kwenye akaunti!! Habari ya uchaguzi siyo issue kwao.
Mbowe ni janga
Wanajirekebisha. Mdogo Mdogo.Hajagusia suala lake la kushambuliwa na wasiojulikana?maana ndio kitu anaongea daily
CHADEMA ni janga.Mbowe na Genge lake wanasubiri tu Ruzuku isome kwenye akaunti!! Habari ya uchaguzi siyo issue kwao.
Mbowe ni janga
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuCHADEMA ni janga.
Na CHADEMA ina hazina kubwa sana za mamluki na vibaraka wa mabeberu, mbaya zaidi, na vyama vya siasa vya mrengo wa kulia;Far right extremist wa Europe. Kama haitoshi, WATUKANAJI.CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Haujakosea mkuuCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
mtu mwenyewe hajali afya yake amejinenepea kama kifutukati ya lisu na wewe nani kapoteza mwelekeo
Wewe mbona una msambwanda kama mwanamama?mtu mwenyewe hajali afya yake amejinenepea kama kifutu
Hili jambo umewahi kumwambia mwenezi wa ccm? Mtu kanenepa hadi ulimi hujamwona?mtu mwenyewe hajali afya yake amejinenepea kama kifutu